John Mrema, tunaomba updates za uzinduzi wa CHAUMMA for Change (C4C)

Izia maji

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
3,259
Reaction score
5,974
Leo tarehe 3/6/2025 ndiyo siku ile iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu! Siku ambayo huko Jijini Mwanza Chaumma mpya itazindua kampeni kabambe ya C4C huku chopa ikiwa pembeni ikisubiri kukata upepo kuanza safari ya mikoa 16 mingine.

Watanzania wote tunasubiri kwa hamu habari moto moto kutoka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Chaumma Bw. John Mrema.
 
Nchi iko busy na mambo ya msingi. Hao wanqeza subiri
 
Leo tarehe 3/6/2025 ndiyo siku ile iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu! Siku ambayo huko Jijini Mwanza Chaumma mpya itazindua kampeni kabambe ya C4C huku chopa ikiwa pembeni ikisubiri kukata upepo kuanza safari ya mikoa 16 mingine.

Watanzania wote tunasubiri kwa hamu habari moto moto kutoka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Chaumma Bw. John Mrema.
Hahahaha😂😂😂😂🤣
 
Wanasubiri kibali cha chopa
 
Ila jamaa wamejikoki kifala dah! eti utoke Chadema Ukajiunge CHAUMA

Dah! Bangi iendelee kupigwa marufuku aisee
Sijui walitumia cha Arusha au cha Kanda Maalum?😁😁😁
 
Leo tarehe 3/6/2025 ndiyo siku ile iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu! Siku ambayo huko Jijini Mwanza Chaumma mpya itazindua kampeni kabambe ya C4C huku chopa ikiwa pembeni ikisubiri kukata upepo kuanza safari ya mikoa 16 mingine.

Watanzania wote tunasubiri kwa hamu habari moto moto kutoka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Chaumma Bw. John Mrema.
mfadhili wao katibuliwa na Gwajima
 
Chopa yao inafananaje?

Waambie waipake rangi nyeupe, nyekundu na nyeusi ili kuwavutia watu wengi!
 
Bado tunasubiri Lumumba waidhinishe malipo.
IMG_20250515_213722.jpg
 
Leo tarehe 3/6/2025 ndiyo siku ile iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu! Siku ambayo huko Jijini Mwanza Chaumma mpya itazindua kampeni kabambe ya C4C huku chopa ikiwa pembeni ikisubiri kukata upepo kuanza safari ya mikoa 16 mingine.

Watanzania wote tunasubiri kwa hamu habari moto moto kutoka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Chaumma Bw. John Mrema.
Jana niliwaona wamejazana kwenye gari moja yale ya tours wamekodi wakaliweka rangi za CHAUMMA ndiyo wanasafiria kutoka Dar kwenda Mwanza aisee ukiwaangalia hadi wanatia huruma. Hivi mbona wamechagua maisha magumu hivyo?
 
Leo tarehe 3/6/2025 ndiyo siku ile iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu! Siku ambayo huko Jijini Mwanza Chaumma mpya itazindua kampeni kabambe ya C4C huku chopa ikiwa pembeni ikisubiri kukata upepo kuanza safari ya mikoa 16 mingine.

Watanzania wote tunasubiri kwa hamu habari moto moto kutoka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Chaumma Bw. John Mrema.
Mabosi mboga mboga wanataka kamanda wa anga ajiunge, anaogopa kujiunga
 
Attachments

  • Screenshot_20250603-095419.jpg
    Screenshot_20250603-095419.jpg
    498.5 KB · Views: 38
Back
Top Bottom