John Mrema, tunaomba updates za uzinduzi wa CHAUMMA for Change (C4C)

Leo tarehe 3/6/2025 ndiyo siku ile iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu! Siku ambayo huko Jijini Mwanza Chaumma mpya itazindua kampeni kabambe ya C4C huku chopa ikiwa pembeni ikisubiri kukata upepo kuanza safari ya mikoa 16 mingine.

Watanzania wote tunasubiri kwa hamu habari moto moto kutoka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Chaumma Bw. John Mrema.
mfadhili wao ana-stress ya gwajimanism
 
Jana niliwaona wamejazana kwenye gari moja yale ya tours wamekodi wakaliweka rangi za CHAUMMA ndiyo wanasafiria kutoka Dar kwenda Mwanza aisee ukiwaangalia hadi wanatia huruma. Hivi mbona wamechagua maisha magumu hivyo?
Mkuu.
Kuanzisha chama cha siasa siyo jambo dogo kama watu wanavyochukulia .chadema hakijajikuta tu kipo pale ni baada ya jitihadi za miaka mingi.
Leo imebaki miezi miwili ati anatokea mtu anakuambia anaanzisha chama kisha agombee uongozii ashinde
 
Upepo wa Gwajima umewaondoa kwenye reli. Pia muitikio wa wanachadema kaskazini imewafanya wakose nguvu. Walidhani kaskazini watasusia chama.
 
Mkuu.
Kuanzisha chama cha siasa siyo jambo dogo kama watu wanavyochukulia .chadema hakijajikuta tu kipo pale ni baada ya jitihadi za miaka mingi.
Leo imebaki miezi miwili ati anatokea mtu anakuambia anaanzisha chama kisha agombee uongozii ashinde
Tunasubiri tuone Kigaila akionyesha mfano!
 
Ila jamaa wamejikoki kifala dah! eti utoke Chadema Ukajiunge CHAUMA

Dah! Bangi iendelee kupigwa marufuku aisee
Kaka wala mmea hawako ivyo hao ni wehu wanashidwa kusoma Nyakati ukitoka Chadema njoo chama Kubwa CCM
 
Jana niliwaona wamejazana kwenye gari moja yale ya tours wamekodi wakaliweka rangi za CHAUMMA ndiyo wanasafiria kutoka Dar kwenda Mwanza aisee ukiwaangalia hadi wanatia huruma. Hivi mbona wamechagua maisha magumu hivyo?
Walishidwa kuchukua basi Waka brand
 
Leo tarehe 3/6/2025 ndiyo siku ile iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu! Siku ambayo huko Jijini Mwanza Chaumma mpya itazindua kampeni kabambe ya C4C huku chopa ikiwa pembeni ikisubiri kukata upepo kuanza safari ya mikoa 16 mingine.

Watanzania wote tunasubiri kwa hamu habari moto moto kutoka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Chaumma Bw. John Mrema.
Hahahaahhaahah haji na hutowaonaaa nakuambiaaa
 
Jana niliwaona wamejazana kwenye gari moja yale ya tours wamekodi wakaliweka rangi za CHAUMMA ndiyo wanasafiria kutoka Dar kwenda Mwanza aisee ukiwaangalia hadi wanatia huruma. Hivi mbona wamechagua maisha magumu hivyo?
Na DJ naye sijui kapima upepo akaona hapa nitaenda kujiaibishaa 🤔😂😂
 
Kwetu tuna msemo " mchwa kala kamba....ujenzi umefeli" ha ha ha ha
 
Sahv tupo kwenye mfungo wa siku saba Leo ikiwa ni siku ya pili kati ya zile saba hatuna habari na CHAUMMA
 
Leo tarehe 3/6/2025 ndiyo siku ile iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu! Siku ambayo huko Jijini Mwanza Chaumma mpya itazindua kampeni kabambe ya C4C huku chopa ikiwa pembeni ikisubiri kukata upepo kuanza safari ya mikoa 16 mingine.

Watanzania wote tunasubiri kwa hamu habari moto moto kutoka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Chaumma Bw. John Mrema.
Akikupa tujulishe
 
Back
Top Bottom