Nchi iko busy na mambo ya msingi. Hao wanqeza subiriLeo tarehe 3/6/2025 ndiyo siku ile iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu! Siku ambayo huko Jijini Mwanza Chaumma mpya itazindua kampeni kabambe ya C4C huku chopa ikiwa pembeni ikisubiri kukata upepo kuanza safari ya mikoa 16 mingine.
Watanzania wote tunasubiri kwa hamu habari moto moto kutoka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Chaumma Bw. John Mrema.
Hahahaha😂😂😂😂🤣Leo tarehe 3/6/2025 ndiyo siku ile iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu! Siku ambayo huko Jijini Mwanza Chaumma mpya itazindua kampeni kabambe ya C4C huku chopa ikiwa pembeni ikisubiri kukata upepo kuanza safari ya mikoa 16 mingine.
Watanzania wote tunasubiri kwa hamu habari moto moto kutoka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Chaumma Bw. John Mrema.
Wanasubiri kibali cha chopaLeo tarehe 3/6/2025 ndiyo siku ile iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu! Siku ambayo huko Jijini Mwanza Chaumma mpya itazindua kampeni kabambe ya C4C huku chopa ikiwa pembeni ikisubiri kukata upepo kuanza safari ya mikoa 16 mingine.
Watanzania wote tunasubiri kwa hamu habari moto moto kutoka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Chaumma Bw. John Mrema.
Ndio ilikua iwe leo lakini mpishi wa ubwabwa mpaka sasa hajaonekana na sidhani kama wajumbe watakubali kufanya kikao wakiwa hawajala.Kwani wanazindua leo??
Sijui walitumia cha Arusha au cha Kanda Maalum?😁😁😁Ila jamaa wamejikoki kifala dah! eti utoke Chadema Ukajiunge CHAUMA
Dah! Bangi iendelee kupigwa marufuku aisee
mfadhili wao katibuliwa na GwajimaLeo tarehe 3/6/2025 ndiyo siku ile iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu! Siku ambayo huko Jijini Mwanza Chaumma mpya itazindua kampeni kabambe ya C4C huku chopa ikiwa pembeni ikisubiri kukata upepo kuanza safari ya mikoa 16 mingine.
Watanzania wote tunasubiri kwa hamu habari moto moto kutoka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Chaumma Bw. John Mrema.
Chopa yao inafananaje?Leo tarehe 3/6/2025 ndiyo siku ile iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu! Siku ambayo huko Jijini Mwanza Chaumma mpya itazindua kampeni kabambe ya C4C huku chopa ikiwa pembeni ikisubiri kukata upepo kuanza safari ya mikoa 16 mingine.
Watanzania wote tunasubiri kwa hamu habari moto moto kutoka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Chaumma Bw. John Mrema.
Jana niliwaona wamejazana kwenye gari moja yale ya tours wamekodi wakaliweka rangi za CHAUMMA ndiyo wanasafiria kutoka Dar kwenda Mwanza aisee ukiwaangalia hadi wanatia huruma. Hivi mbona wamechagua maisha magumu hivyo?Leo tarehe 3/6/2025 ndiyo siku ile iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu! Siku ambayo huko Jijini Mwanza Chaumma mpya itazindua kampeni kabambe ya C4C huku chopa ikiwa pembeni ikisubiri kukata upepo kuanza safari ya mikoa 16 mingine.
Watanzania wote tunasubiri kwa hamu habari moto moto kutoka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Chaumma Bw. John Mrema.
Mabosi mboga mboga wanataka kamanda wa anga ajiunge, anaogopa kujiungaLeo tarehe 3/6/2025 ndiyo siku ile iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu! Siku ambayo huko Jijini Mwanza Chaumma mpya itazindua kampeni kabambe ya C4C huku chopa ikiwa pembeni ikisubiri kukata upepo kuanza safari ya mikoa 16 mingine.
Watanzania wote tunasubiri kwa hamu habari moto moto kutoka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Chaumma Bw. John Mrema.
Tutapotezana.Bado yuko na kamusi anatafuta tafsiri ya maneno manne
No reform
No election.