SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,104
- 75,552
John Mrema nakushauri hiyo hela uliyovuna kwenye hiyo project kafungue jiko la nyama choma, naona wakina Mrema wengi wanafanya vizuri kwenye fani hii ya uchomaji nyama, utakuja kunishukuru.