Kinachofuata kitakuwa kibaya na cha aibu zaidi kuliko hii nyomiless ya leo😅.Wakuu
Hapa Mwanza uzinduzi wa C4C ya CHAUMMA ni fedheha, John Mrema anatia huruma, uwanja ni hauna watu Mrema anajipa moyo akiwa anasubiriwa mzee wa ubwabwa atue na chopa.
Jipe moyoMwanzo huwa mgumu!..
Hahahaha na funda la UGOROKisungura kipo kichwani !
Opinions vs facts!!, kama huna platfom ya kuwasilisha mawazo na fikra zako mbadala utakufa nazo!!. Siasa inahitaji uwe na kundi la watu watakaokuunga mkono then ulete mawazo yako wayasapoti!.Nimekupa mfano wa Utumwa kwahio leo huenda kuna mambo ambayo kwako unaweza kuona kwamba hayapo sawa hivyo unaanzisha Chama ili kuona kama kuna watu wana fikra kama wewe ili muweze kuungana na kusaidiana kupaza sauti na kusikika..., Motive sio tu kushika nchi motive inaweza kuwa ni kuungana watu mnaofanana ili muweze kupaza sauti
By the way kwamba watu walikuwa hawajui madhara ya utumwa ? Au ni kwamba waliokuwa wameshika mpini waliridhika na na kunufaika na status quo ? Kwahio wewe hata ukiwa peke yako na unaamini jambo fulani sio sawa utaungana na na wengine sababu ni wengi ?!!!
Hapa unaleta fallacy ya Argumentum ad Populum unasahau kwamba kuna Tyranny of the Majority....
View attachment 3354741
Mangi tapeli sanaWakuu
Hapa Mwanza uzinduzi wa C4C ya CHAUMMA ni fedheha, John Mrema anatia huruma, uwanja ni hauna watu Mrema anajipa moyo akiwa anasubiriwa mzee wa ubwabwa atue na chopa.
Kwanini leo wataujaza? Au wanasubiri usiku wawajaze kwa photoshop 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wakuu
Hapa Mwanza uzinduzi wa C4C ya CHAUMMA ni fedheha, John Mrema anatia huruma, uwanja ni hauna watu Mrema anajipa moyo akiwa anasubiriwa mzee wa ubwabwa atue na chopa.
branding ya chaumma ndiyo tatizo, usaliti. watanzania wako makini mno na political situation. Chadema ameji brand na wananchi mda mrefu.Haaahaa 😆 🤣
CHAUMA wahutubia ng'ombeHawa nao hawana kazi nyingine ya kufanya? Hawajui kusoma alama za nyakati KUWA watu hawapendi usanii
Moja ukiwa na mawazo yako binafsi wewe sio Chama bali ni mtu mwenye fikra zako, kwahio sio mbaya utafute watu wenye fikra kama zako ili muweze kusaidiana kupaza sauti; Sasa ukiwa mtu wa principles hata kama mpo wachache utaendelea na wachache wenzako kupaza sauti ya mnachokiamini sio kujiunga na wengine sababu tu ni wengi....Opinions vs facts!!, kama huna platfom ya kuwasilisha mawazo na fikra zako mbadala utakufa nazo!!. Siasa inahitaji uwe na kundi la watu watakaokuunga mkono then ulete mawazo yako wayasapoti!.