PreGE2025 John Mrema: Wanaorusharusha vipicha endeleeni, ni suala la muda tu hatujawahi kukosea, tutajaza uwanja

PreGE2025 John Mrema: Wanaorusharusha vipicha endeleeni, ni suala la muda tu hatujawahi kukosea, tutajaza uwanja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tena Mwanza uwapelekee upuuzi wa Watawala huyu Mrema iko siku atapopolewa na Wananchi.
 
Wakuu

Hapa Mwanza uzinduzi wa C4C ya CHAUMMA ni fedheha, John Mrema anatia huruma, uwanja ni hauna watu Mrema anajipa moyo akiwa anasubiriwa mzee wa ubwabwa atue na chopa.

Kinachofuata kitakuwa kibaya na cha aibu zaidi kuliko hii nyomiless ya leo😅.

Kuna mahali mtapigwa mawe na chupa hadi mpoteane. Wrong timing.
 
Nimekupa mfano wa Utumwa kwahio leo huenda kuna mambo ambayo kwako unaweza kuona kwamba hayapo sawa hivyo unaanzisha Chama ili kuona kama kuna watu wana fikra kama wewe ili muweze kuungana na kusaidiana kupaza sauti na kusikika..., Motive sio tu kushika nchi motive inaweza kuwa ni kuungana watu mnaofanana ili muweze kupaza sauti

By the way kwamba watu walikuwa hawajui madhara ya utumwa ? Au ni kwamba waliokuwa wameshika mpini waliridhika na na kunufaika na status quo ? Kwahio wewe hata ukiwa peke yako na unaamini jambo fulani sio sawa utaungana na na wengine sababu ni wengi ?!!!

Hapa unaleta fallacy ya Argumentum ad Populum unasahau kwamba kuna Tyranny of the Majority....

View attachment 3354741
Opinions vs facts!!, kama huna platfom ya kuwasilisha mawazo na fikra zako mbadala utakufa nazo!!. Siasa inahitaji uwe na kundi la watu watakaokuunga mkono then ulete mawazo yako wayasapoti!.
 
Watanzania kwa kawaida huwa waoga, lakini wakiamua kususia jambo, athari yake ni kubwa na utaona matokeo yake waziwazi., na ndo maana no reforms no elections inawaogopesha watawala haswa yani Ile Lissu itakuwa kama kusukuma walevi
 
CHAUMA wahutubia ng'ombe
IMG-20250603-WA0090.jpg
 
Hiyo ziara ya siku 16 wataimaliza kweli?? Naona wameanza kukata tamaa mapema
 
😁😁😁

Vipi mrema uwanja ulijaa huko?

Itakuwa alijua helkopta ikitua basi watu watajazana kushangaa
 
Opinions vs facts!!, kama huna platfom ya kuwasilisha mawazo na fikra zako mbadala utakufa nazo!!. Siasa inahitaji uwe na kundi la watu watakaokuunga mkono then ulete mawazo yako wayasapoti!.
Moja ukiwa na mawazo yako binafsi wewe sio Chama bali ni mtu mwenye fikra zako, kwahio sio mbaya utafute watu wenye fikra kama zako ili muweze kusaidiana kupaza sauti; Sasa ukiwa mtu wa principles hata kama mpo wachache utaendelea na wachache wenzako kupaza sauti ya mnachokiamini sio kujiunga na wengine sababu tu ni wengi....

Tatizo katika hii Karne ya 21 the only thing watu wanachoangalia ni Kutawala au kungagania kutawala ndio maana tuna Politics of attacks and survival... na sio pushing agendas...
 
Back
Top Bottom