SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,104
- 75,552
FurahishaWako Mwanza sehemu gani nikawasanifu hawa vibaka
😂😂😂Hujui nini, una sera huna watu hizo sera utaziuzia kwenye makabati ya chama chako?.Out of Topic kidogo...; Hivi Bongo tunaangalia nini kwenye Vyama vya Siasa ?
Point yangu ni kwamba je Chama kinachomfaa mtu husika ni kile kinachokubaliwa na wengi, kinachojaza uwanja au kinachoendana na Sera / Fikra za mtu husika ?
- Kujaza uwanja ?
- Kukubalika / kukubaliwa na watu ?
- Fikra / Itikadi / Kukubaliana na Sera Husika..., (Je hata Sera zipo)?
Sababu naona tunachukulia Vyama kama Show za Msanii / Pop Icon....
Kwahio wewe enzi za utumwa kama ulikuwa peke yako unayepinga utumwa ungebadilisha Sera zako ili upate watu ndio ubadilike ?😂😂😂Hujui nini, una sera huna watu hizo sera utaziuzia kwenye makabati ya chama chako?.
Chama chochote kinatafuta wafuasi, wanachama na wakereketwa ndio kinauza sera ambazo zitaungwa mkono na watu. Sera bila watu ni sawa na MWANAMKE AWE ANA TAKO KUBWAAAA HARAFU HANA AKILI.
Nimepita hapo sasa hivi uwanja mweupe hadi aibuFurahisha
😂Kukomesha utumwa lilikuwq sio swala la siku moja, watu walianza kuhubiri mabaya ya utumwa ndipo jamii zikajua na waanzilishi wakapata sapoti kutoka jamii tofauti. Kama huna watu wakuuza hizo sera zako zina maana ipi?. Unahitaji watu ili ufanikishe kusambaza fikra zako na sera zako.....Kwahio wewe enzi za utumwa kama ulikuwa peke yako unayepinga utumwa ungebadilisha Sera zako ili upate watu ndio ubadilike ?
Huo ni mtizamo wako binafsi huwa naangalia fikra / core values za watu husika na mtu unakwenda huko kutokana na mfanano wa fikra (ila ndio hivyo nilishasema kitambo na nitaendelea kusema tena..., Duniani na hususan Bongo Siasa na Vyama vya Karne hii ni Platforms za kutafuta Kura kwenda Kula)
Nimekupa mfano wa Utumwa kwahio leo huenda kuna mambo ambayo kwako unaweza kuona kwamba hayapo sawa hivyo unaanzisha Chama ili kuona kama kuna watu wana fikra kama wewe ili muweze kuungana na kusaidiana kupaza sauti na kusikika..., Motive sio tu kushika nchi motive inaweza kuwa ni kuungana watu mnaofanana ili muweze kupaza sauti😂Kukomesha utumwa lilikuwq sio swala la siku moja, watu walianza kuhubiri mabaya ya utumwa ndipo jamii zikajua na waanzilishi wakapata sapoti kutoka jamii tofauti. Kama huna watu wakuuza hizo sera zako zina maana ipi?. Unahitaji watu ili ufanikishe kusambaza fikra zako na sera zako.....
Haaahaa 😆 🤣Kisungura kipo kichwani !