John Mwambigija atoa hadharani Ujumbe wa Freeman Mbowe kwa Watanzania kutoka gereza la Ukonga

Mwenyekiti wa Chadema Mbeya Mjini , Mh John Mwambigija alikuwa miongoni mwa wanachama wa Chadema waliosafiri hadi gereza la Ukonga kumuona Mwamba Freeman Mbowe anayeshikiliwa kwenye gereza hilo kwa makosa yanayoitwa ya Ugaid...
Hii mashine mashine siyo ya mchezo ,TULIA ,akisikia jina Hili lazima ajifiche chini ya Godoro, nilifanikiwa fika mkutano mmoja pale Mbeya kipindi Cha kampeni 2020, nikiwa pale Mbeya kikazi, nasema CHADEMA inawatu,ccm sijui ina nini, hachana kabisa na huyo BWANA kwenye jukwaa ya kisiasa
 
Mwenyekiti wa Chadema Mbeya Mjini , Mh John Mwambigija alikuwa miongoni mwa wanachama wa Chadema waliosafiri hadi gereza la Ukonga kumuona Mwamba Freeman Mbowe anayeshikiliwa kwenye gereza hilo kwa makosa yanayoitwa ya Ugaid
Chief. Hangaya Hoyee. Kaza hapo hapo mama mpaka magaidi yote yatokee kwenye madirisha kule saccos.
 
Tangu Mbeya waanze kuchagua CDM wamepata kipi cha ziada,?

Nilichoona ni SUGU kujenga HOTEK na kupata heshima ya MISUTI MJENGONI ..Maisha ya wanambeya ni yale yale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…