Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,639
Hivi mbeya inawabunge wangapi wa chadema dadaWatu wa Mbeya wamebarikiwa kwa ardhi safi, mvua za kutosha, vyakula kama vyote lakini hawaitaki CCM.
Dodoma kwa wagogo wana shida za kila aina njaa, maradhi, milembe, ukame, kusahauliwa na serikali, viongozi wa ajabu ajabu kama Lusinde na Ndugai ila bado wameikumbatia CCM.
Hivi mbeya inawabunge wangapi wa chadema dada
Utaliwa kinyeo jombaa!Gaid nae ana ujumbe?
kusaka Katiba mpya ni ushenzi ?Ujumbe wa kupanga njama za kuuwa watu, kulipua na kuzua taharuki ktk jamii ili aachiwe huru!!
Chadema wanapaswa wajifunze kuwa uongozi hautafutwi kwa njia za kishenzi na kihuni,
katiba inadaiwa na Mhalifu wa Ugaidi?!kusaka Katiba mpya ni ushenzi ?
Very very LOW Thinking. What Happen JF?Kwa hiyo tumpe yule dj mlevi nchi?nyie huko vichwani sijui kuna madudu gani,mnalipwa sh ngap kuongea huu upup?
Walevi nchi hii hamtoipata,amini usiamiVery very LOW Thinking. What Happen JF?
We pia dj kakuahidi ukuu wa wilaya?Utaliwa kinyeo jombaa!
Haya mafunzo ndio dj mlevi kawapa?tua ww huo mzigo wa kijuha uwe huru kufikiriBaki na umasikini wa mawazo na mtazamo na huo ni mzigo mzito kwako,utue uwe huru.
una hoja duni sanaHaya mafunzo ndio dj mlevi kawapa?tua ww huo mzigo wa kijuha uwe huru kufikiri
Mafweza asante wewe una hoja mzito zilizojaa weledi na uzalendo wa kitanzaniaHaya mafunzo ndio dj mlevi kawapa?tua ww huo mzigo wa kijuha uwe huru kufikiri
Tangu Mbeya waanze kuchagua CDM wamepata kipi cha ziada,?
Nilichoona ni SUGU kujenga HOTEK na kupata heshima ya MISUTI MJENGONI ..Maisha ya wanambeya ni yale yale.
Mbeya CDM waliongoza mpaka halmashauri wakaanza kukusanya kodi na hakuna jipya...Ni kwasababu CCM bado inaongoza serikali na kupanga bajeti.
..mabadiliko yatawezekana kama asilimia 40% ++ ya WABUNGE watatokana na VYAMA MBADALA.
..hilo likitokea CCM na VYAMA MBADALA watakaa meza moja na kuamua kwa pamoja muelekeo wa nchi yetu.
..Na hapo ndipo tutaweza kuvuna MATUNDA ya Demokrasia ya vyama vingi.
Mbeya CDM waliongoza mpaka halmashauri wakaanza kukusanya kodi na hakuna jipya.
Nyingine ni siasa za tumbo tu za kutaka kikubwa zaidi ili unufaike zaidi.
CCM na CDM ni bora CCM mara 200, ingawa ikitokea kukawa na chama kisicho na majority kwenye maaumuzi itakuwa bora zaidi.
Si kwamba hayo unayoyasema hajui , anataka kukusumbua tu..serikali kuu ilinyang'anya halmashauri mapato kwa kiasi kikubwa hivyo CDM hawakuwa na uwezo wa kutekeleza mipango ya maendeleo ikaonekana.
..pamoja na hayo CDM wanadai kipindi walichoongoza Mbeya wamefanya mambo makubwa kulinganisha na kipindi ambacho CCM iliongoza.
..jambo lingine ni ma-RC, ma-DC, na system nzima ya serikali, kufanya juhudi za kuwahujumu CDM pale ambapo wananchi walikuwa wamewachagua.
..Sio rahisi eneo husika kupata maendeleo wakati serikali inafanya kila aina ya NJAMA / HUJUMA dhidi ya mbunge na madiwani.
Nina mishe zangu zina nitosha.We pia dj kakuahidi ukuu wa wilaya?
Ukijua kusudi la kuanzishwa kwa chadema hutawachekea kbs Mungu atuepushie mbaliWatu wa Mbeya wamebarikiwa kwa ardhi safi, mvua za kutosha, vyakula kama vyote lakini hawaitaki CCM.
Dodoma kwa wagogo wana shida za kila aina njaa, maradhi, milembe, ukame, kusahauliwa na serikali, viongozi wa ajabu ajabu kama Lusinde na Ndugai ila bado wameikumbatia CCM.