Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
John Nyerere,mtoto wa nne wa Mwalimu Julius Nyerere,amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya rufaa ya Muhimbili.
Poleni sana familia ya baba wa taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
John Nyerere,mtoto wa nne wa Mwalimu Julius Nyerere,amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya rufaa ya Muhimbili.
Angekuwa Rizimomo tungesikia kafia Paris au Usa!
Poleni wafiwa. nadhani ni huyo katika kwenye picha.
![]()
Poleni wafiwa. nadhani ni huyo katika kwenye picha.
![]()
Angekuwa Rizimomo tungesikia kafia Paris au Usa!
R.I.P. mtoto wa Nyerere, hivi hakuna namna nyingine ya kumtambulisha mtu mwenye watoto na wajukuu zaidi ya kuitwa mtoto wa fulani.?Poleni wafiwa. nadhani ni huyo katika kwenye picha.
![]()
Labda tukuulize wewe kwa nini unaona Kanisa Katoliki linahusika badala ya Father NKwera kwenye mazishi yake.Swali ni je kanisa katoriki litakubali kumzika sababu alikuwa akisali pale riverside kwa father Nkwera ambaye kanisa katoliki halitaki hata kumsikia.
But may his soul rest in peace.
Poleni wafiwa. nadhani ni huyo katika kwenye picha.
![]()
Andrew Nyerere Poleni sana familia ya Nyerere kwa msiba huu.
Kapteni John Nyerere atakumbukuwa sana na wana anga wa jeshi kutokana na umahiri wake wa kumudu ndege za kivita wakati wa ujana wake.