TANZIA John Nyerere afariki dunia

TANZIA John Nyerere afariki dunia

Poleni ndugu,jamaa na wanajumuia ya kanisa kwa msiba.Mungu alitoa na sasa ametwaa. Amina lake lihimidiwe milele na milele
 
pole nyingi sana wafiwa , ukiacha makosa ya kibinadamu , hakika Nyerere alikuwa mzalendo halisi , mpaka leo familia yake inatibiwa Muhimbili , bali mafisadi wengi wa chama alichokianzisha hutibiwa INDIA , ULAYA NA AMERICA .
 
Sasa huo uchokozi mkuu? Kwani yule mtaalam wa sheria Kenya ndg Patrice Lumumba ndio alikuwa waziri mkuu wa iliyokuwa Zaire?
kwahiyo unataka kuniambia, yeriko nyerere hana uhusiano wowote na familia au ukoo wa baba wa taifa hili? just curious, nataka kumfahamu yule dogo, ni mdadisi na msumbufu sana huwezi linganisha na umri wake. nilikuwa nasoma post zake sana ikabidi nimsome sana facebook na jf na kuangalia picha zake ni kitoto kidogo ajabu.
 
Poleni sana wafiwa!Mungu awafute machozi na kuwa mfariji wenu mkuu.
 
R.I.P john nyerere na poleni wanafamilia kwa ujumla
 
R.I.P JOHN NYERERE. Poleni sana familia yote ya hayati Baba wa Taifa Julius Kambarage Nyerere.
 
Back
Top Bottom