TANZIA John Nyerere afariki dunia

R.I.P JOHN .K.NYERERE.


-wanasiasa musiutumie msiba huu kujitangaza kwa nia zenu ovu za kuutaka ukuu wa kaya kimabavu!
 
Swali ni je kanisa katoliki litakubali kumzika sababu alikuwa akisali pale riverside kwa father Nkwera ambaye kanisa katoliki halitaki hata kumsikia.

But may his soul rest in peace.
 
Poleni wafiwa. nadhani ni huyo katika kwenye picha.

R.I.P. mtoto wa Nyerere, hivi hakuna namna nyingine ya kumtambulisha mtu mwenye watoto na wajukuu zaidi ya kuitwa mtoto wa fulani.?

Ni mtazamo tu.
 
Swali ni je kanisa katoriki litakubali kumzika sababu alikuwa akisali pale riverside kwa father Nkwera ambaye kanisa katoliki halitaki hata kumsikia.
But may his soul rest in peace.
Labda tukuulize wewe kwa nini unaona Kanisa Katoliki linahusika badala ya Father NKwera kwenye mazishi yake.

Subiri Nkwera atakuja kuongoza mazishi, maana huyo ni mtu mzima alijua anachokifanya.
 
Andrew Nyerere : Poleni sana familia ya Nyerere kwa msiba huu.

Kapteni John Nyerere atakumbukuwa sana na wana anga wa jeshi kutokana na umahiri wake wa kumudu ndege za kivita wakati wa ujana wake.
 
Andrew Nyerere Poleni sana familia ya Nyerere kwa msiba huu.
Kapteni John Nyerere atakumbukuwa sana na wana anga wa jeshi kutokana na umahiri wake wa kumudu ndege za kivita wakati wa ujana wake.

Huyu ndio yeye tuliesikiaga vijiweni 'alitunguliwa' na majeshi ya Id Amini.?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…