TANZIA John Nyerere afariki dunia

TANZIA John Nyerere afariki dunia

Labda Nyerere alichepuka huko UHEHENI! (No offense intended)

Mchepuko unaweza kuwepo lkn mbona sura imekaa left hand sana ya huyo Yericko?
Yaani hajafanana nae hatta pua?
 
Nilimuuliza Butiku kuhusu Yericko. Butiku akasema nipe namba yake ya simu,nitamtafuta. Nilimpa Butiku hiyo namba. Sijui jambo gani lilitokea. Lakini baadaye Yericko akasema kwamba yeye hayupo katika familia ya Nyerere. Anajiita Nyerere kwa ajili babu yake mhehe alikuwa anaitwa Nyerere.
 
John Nyerere,mtoto wa nne wa Mwalimu Julius Nyerere,amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya rufaa ya Muhimbili.
Andrew Nyerere tunashukuru kwa taarifa na tumwombee mwenyezi Mungu ampumzishe pahala pema peponi Amen. Angalizo :hatutaki sarakasi za urais mzihamishie kwenye huu msiba, mkileta za kuleta tutaonana wabaya japo hatutaki hilo litokee. Msiba ubaki kuwa msiba na siasa ziwekwe pembeni.
 
Wadau hivi tuseme mara ngapi kuwa huyu mtoto wa Kihehe HANA uhusiano na Mwalimu Nyerere?
Yaani kawatapeli kijinga na nyie mnaingia wazima!
Mjini kubaya sana. Huyu Yerico ni MUHEHE wale wenye tabia za kula wale wanyama wanaokatiza brbrni kila mara.
Na Familia ya Mwalimu Nyerere ni Wazanaki wa Butiama.

Yaani ni sawa na Kusema Mzito Kabwela ni ndugu yake na Slaa wakati Slaa Mchaga na huyu mzito ni Muhaya.
ndg Nyepesi si muhaya bali ni Muha japo hatuna uhakika maana wanaotokea huko ni makabila mengi na yanatokea kuleeee na sa hivi mgodi wa Nkurunziza unaendelea kutema.
 
Last edited by a moderator:
Poleni sana yericko nyerere pamoja na familia nzima

Huu ni upuuzi, kafie mbele na pole yako. Yericko kesha sema Mara nyingi hapa kuwa yeye sio wa family ya mwalimu wewe unaleta utani kwenye Habari ya msiba!
 
Wasamehe hilo ni sehemu ya majina duniani. Wanyakyusa wana Mwanyerere siku nyingi. Soma historia ya kanisa la Baptist Rungwe.
 
Nilimuuliza Butiku kuhusu Yericko. Butiku akasema nipe namba yake ya simu,nitamtafuta. Nilimpa Butiku hiyo namba. Sijui jambo gani lilitokea. Lakini baadaye Yericko akasema kwamba yeye hayupo katika familia ya Nyerere. Anajiita Nyerere kwa ajili babu yake mhehe alikuwa anaitwa Nyerere.

samahani kwani na wewe ni mtoto wa mwalimu nyerere?
 
Pole mama Maria pamoja na familia, ndugu, jamaa na marafiki. Mungu amlaze mahali pema peponi.
 
Cc Ritz, Mwanadiwan tuwekee yale madai ya Yericko alipodai yeye ni mtoto wa kuzaliwa wa mwalimu Nyerere.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom