Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha zote tatu ni yeye sio?
John Nyerere,mtoto wa nne wa Mwalimu Julius Nyerere,amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya rufaa ya Muhimbili.
Ndio yeye kwa akili zako
Yericko Nyerere hana uhusiano wowote na Familia ya Mwalimu Nyerere.
Hawa ni WAZANAKI na Huyo Yericko ni MUHEHE.
Huyu Yericko ni Msanii tu. Hana llt.
Labda Nyerere alichepuka huko UHEHENI! (No offense intended)
Poleni sana yericko nyerere pamoja na familia nzima
Andrew Nyerere tunashukuru kwa taarifa na tumwombee mwenyezi Mungu ampumzishe pahala pema peponi Amen. Angalizo :hatutaki sarakasi za urais mzihamishie kwenye huu msiba, mkileta za kuleta tutaonana wabaya japo hatutaki hilo litokee. Msiba ubaki kuwa msiba na siasa ziwekwe pembeni.John Nyerere,mtoto wa nne wa Mwalimu Julius Nyerere,amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya rufaa ya Muhimbili.
ndg Nyepesi si muhaya bali ni Muha japo hatuna uhakika maana wanaotokea huko ni makabila mengi na yanatokea kuleeee na sa hivi mgodi wa Nkurunziza unaendelea kutema.Wadau hivi tuseme mara ngapi kuwa huyu mtoto wa Kihehe HANA uhusiano na Mwalimu Nyerere?
Yaani kawatapeli kijinga na nyie mnaingia wazima!
Mjini kubaya sana. Huyu Yerico ni MUHEHE wale wenye tabia za kula wale wanyama wanaokatiza brbrni kila mara.
Na Familia ya Mwalimu Nyerere ni Wazanaki wa Butiama.
Yaani ni sawa na Kusema Mzito Kabwela ni ndugu yake na Slaa wakati Slaa Mchaga na huyu mzito ni Muhaya.
Poleni sana yericko nyerere pamoja na familia nzima
pumzika peponi bro John
Nilimuuliza Butiku kuhusu Yericko. Butiku akasema nipe namba yake ya simu,nitamtafuta. Nilimpa Butiku hiyo namba. Sijui jambo gani lilitokea. Lakini baadaye Yericko akasema kwamba yeye hayupo katika familia ya Nyerere. Anajiita Nyerere kwa ajili babu yake mhehe alikuwa anaitwa Nyerere.
Kweli kabisa,lakini ona mwenyewe jinsi Ccm ilivyoitelekeza hii family