TANZIA John Nyerere afariki dunia

mkuu kama ni wa katikati, mbona ni mzee sana, au ni maradhi? polen wafiwa, r.i.p john

By MEANDU

Poleni wafiwa. nadhani ni huyo katikati kwenye picha.



Wa katiati ni mzee John Nyerere 62 wa pembeni ni watoto wake




 
RIP John! Poleni sana familia ya marehemu Mwl J.K.Nyerere,pole mama Maria Nyerere.
 
Poleni sana!! Mungu jamani umemwacha nyoka makengezi ukachukua mtu mwema!! R.I.P

Mungu Hana hizo fikra zako chafu. Kila nafsi iliyotenda dhambi itaonja mauti. RIP in peace John. Ukifika huko aliko baba wa taifa mpelekee ujumbe mzito kuwa maadili uliyo simamia yameporomoka. Pengo thidi ya masikini na matajiri halizibiki tena. Rushwa katika nchi iko nje nje.

Pumzika kwa Amani John.
 
Poleni sana wahusika wote (wanafamilia). Pole zaidi kwa Mama Maria Nyerere, kwa maana uchungu wa mwana aujua mzazi. Na kwa mzazi pengo la mtoto halizibwi na mtoto mwingine. Kwa kuwa Mama yetu ni kipenzi cha Munyenzi Mungu, tunakuombea akupe nguvu za kukabiliana na uchungu ulionao. Pole sana, na tumuombe Mungu wetu aipumzishe roho ya marehemu mahali pema. Amina.
 
Poleni familia ya Mwalimu NYERERE kwa msiba huu. Mungu ampumzishe kwa Amani. AMINA
 
Utakumbukwa kwa uwezo wako mkubwa wa kumiliki vizuri Sana ndege vita MIG 29 uganda hawatakusahau pia

Duh kumbe ndiye huyu kamanda. Hivi watoto wangapi wa Mwl. walikwenda vitani? Nahitaji kufaham ikibidi kwa majina yao. R.I.P kamanda.
 
Poleni sana ndugu jamaa na marafiki! Pumzika kwa amani kepteni John Nyerere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…