samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
Poleni wafiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleni wafiwa. nadhani ni huyo katikati kwenye picha.
![]()
Nyerere mwenyewe alifia London! Na alikuwa mjamaa!Angekuwa Rizimomo tungesikia kafia Paris au Usa!
mkuu kama ni wa katikati, mbona ni mzee sana, au ni maradhi? polen wafiwa, r.i.p john
Nipo Butiama nasikiliza mp 3 ya kitabu cha Three Lives cha. Lobsang Rampa.
mkuu kama ni wa katikati, mbona ni mzee sana, au ni maradhi? polen wafiwa, r.i.p john
Poleni sana!! Mungu jamani umemwacha nyoka makengezi ukachukua mtu mwema!! R.I.P
Utakumbukwa kwa uwezo wako mkubwa wa kumiliki vizuri Sana ndege vita MIG 29 uganda hawatakusahau pia