TANZIA John Nyerere afariki dunia

Poleni sana watanzania wenzetu, mmeishi maisha mfano wa wengi hapa Tz hivyo mmekuwa ni wenzetu zaidi
 
John Nyerere,mtoto wa nne wa Mwalimu Julius Nyerere,amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya rufaa ya Muhimbili.

Poleni sana wafiwa, apumzike kwa aman,

Inaniuma kusikia Mtanzania anafariki bila kuona na kushuhudia tukio la kuanguka na kuondoka ccm madarakani.

Mungu tunakuomba uwarehemu marehem wote
 
pole nyingi sana wafiwa , ukiacha makosa ya kibinadamu , hakika Nyerere alikuwa mzalendo halisi , mpaka leo familia yake inatibiwa Muhimbili , bali mafisadi wengi wa chama alichokianzisha hutibiwa INDIA , ULAYA NA AMERICA .
Mbowe,Mrema,Lipumba.SEIF shariff hamad,na viongozi wa kibao wa upinzani wanatibiwa nje ya nchi wote nao mafisadi kwa gharama za serikali nao mafisadi? Au hujui kuwa huwa wanaenda nje kutibiwa na kupima afya zao?
 
Yericko Nyerere hana uhusiano wowote na Familia ya Mwalimu Nyerere.
Hawa ni WAZANAKI na Huyo Yericko ni MUHEHE.
Huyu Yericko ni Msanii tu. Hana llt.

usanii uko wapi hapo?Nyerere huyo huyo usiyempenda kwa sababu ya dini yake ajabu unakataza watu wasijiite jina lake
 
Last edited by a moderator:
poleni wanafamilia ya mwalimu j.k ,mungu awatie nguvu kipindi hiki kigumu.apumzike kwa amani
 
John Nyerere,mtoto wa nne wa Mwalimu Julius Nyerere,amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya rufaa ya Muhimbili.
Mwana jf mwenzetu Andrew, poleni sana kwa msiba huu mkubwa na nadhani ndio wa kwanza kwa mtoto wa Mwalimu!.

Kusema ukweli baadhi ya wanafamilia wa Baba wa Taifa wako too low profile kiasi licha ya mimi kukulia jirani na Pale Msasani huku tukisoma darasa moja na Milton sikuwahi kusikia lolote kumhusu John zaidi ya kusikia alikuwa na cheo cha Capt. wa JWTZ na alikuwa ni fighter pilot wa Jet.

RIP Capt. John Magige Nyerere.

Pasco
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…