Comi
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 3,328
- 958
Poleni sana!! Mungu jamani umemwacha nyoka makengezi ukachukua mtu mwema!! R.I.P
Unamaanisha unampangia Muumba nini cha kufanya juu ya kondoo zake!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleni sana!! Mungu jamani umemwacha nyoka makengezi ukachukua mtu mwema!! R.I.P
Unamaanisha unampangia Muumba nini cha kufanya juu ya kondoo zake!!
John Nyerere,mtoto wa nne wa Mwalimu Julius Nyerere,amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya rufaa ya Muhimbili.
John Nyerere,mtoto wa nne wa Mwalimu Julius Nyerere,amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya rufaa ya Muhimbili.
Nipo Butiama nasikiliza mp 3 ya kitabu cha Three Lives cha. Lobsang Rampa.
Serikali imchunguze huyu Andrew Nyerere
ajibu nini Mkuu? Be specificAndrew Nyerere haja jibu??
Slaa mchaga?
Mbowe,Mrema,Lipumba.SEIF shariff hamad,na viongozi wa kibao wa upinzani wanatibiwa nje ya nchi wote nao mafisadi kwa gharama za serikali nao mafisadi? Au hujui kuwa huwa wanaenda nje kutibiwa na kupima afya zao?pole nyingi sana wafiwa , ukiacha makosa ya kibinadamu , hakika Nyerere alikuwa mzalendo halisi , mpaka leo familia yake inatibiwa Muhimbili , bali mafisadi wengi wa chama alichokianzisha hutibiwa INDIA , ULAYA NA AMERICA .
Yericko Nyerere hana uhusiano wowote na Familia ya Mwalimu Nyerere.
Hawa ni WAZANAKI na Huyo Yericko ni MUHEHE.
Huyu Yericko ni Msanii tu. Hana llt.
usanii uko wapi hapo?Nyerere huyo huyo usiyempenda kwa sababu ya dini yake ajabu unakataza watu wasijiite jina lakeNilimuuliza Butiku kuhusu Yericko. Butiku akasema nipe namba yake ya simu,nitamtafuta. Nilimpa Butiku hiyo namba. Sijui jambo gani lilitokea. Lakini baadaye Yericko akasema kwamba yeye hayupo katika familia ya Nyerere. Anajiita Nyerere kwa ajili babu yake mhehe alikuwa anaitwa Nyerere.
mkuu kama ni wa katikati, mbona ni mzee sana, au ni maradhi? polen wafiwa, r.i.p john
Mwana jf mwenzetu Andrew, poleni sana kwa msiba huu mkubwa na nadhani ndio wa kwanza kwa mtoto wa Mwalimu!.John Nyerere,mtoto wa nne wa Mwalimu Julius Nyerere,amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya rufaa ya Muhimbili.
John Nyerere,mtoto wa nne wa Mwalimu Julius Nyerere,amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya rufaa ya Muhimbili.