mtimbwilimbwi
Member
- May 8, 2015
- 36
- 11
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dogo umekurupuka , nisome tena , asilimia 95 ya viongozi wa ccm wanaumwa na wengine wanagombea uongozi si kwa ajili ya kuleta maendeleo bali wapate uchochoro wa kutibiwa nje , maana wanaumwa ! inahitaji zaidi ya macho uliyonayo kunielewa .Mbowe,Mrema,Lipumba.SEIF shariff hamad,na viongozi wa kibao wa upinzani wanatibiwa nje ya nchi wote nao mafisadi kwa gharama za serikali nao mafisadi? Au hujui kuwa huwa wanaenda nje kutibiwa na kupima afya zao?
R.I.P. mtoto wa Nyerere, hivi hakuna namna nyingine ya kumtambulisha mtu mwenye watoto na wajukuu zaidi ya kuitwa mtoto wa fulani.?
Ni mtazamo tu.
Alikuw anaumwa kwa muda mrefu sana
Pole Kamanda,kipindi cha nyuma kidogo niliwahi kukuuliza kuhusu hili na hukunijubu,lakini naona umeleta jibu wakati huu ambao siyo wakati muhafaka,kwa mtazamo kama Yericko anapenda kujiita jina hilo naona tumpe nafasi afanye hivyo labda analilia kazi alizofanya baba yako,nakushauri usiendelee na mjadala dhaifu kama huu kwani hautusaidii tena hapa tulipofika,hata mimi kesho naweza kujiita Rosemary Nyerere ili tu kukumbuka kazi za baba yako!
Duh kumbe ndiye huyu kamanda. Hivi watoto wangapi wa Mwl. walikwenda vitani? Nahitaji kufaham ikibidi kwa majina yao. R.I.P kamanda.
Poleni sana wanafamilia .Ila mnatuchanganya .John Magige Nyerere ni nani tena.
Au Julius K. Nyerere = Magige K.Nyerere
R.I.P John.
Sasa huo uchokozi mkuu? Kwani yule mtaalam wa sheria Kenya ndg Patrice Lumumba ndio alikuwa waziri mkuu wa iliyokuwa Zaire?
Mwana jf mwenzetu Andrew, poleni sana kwa msiba huu mkubwa na nadhani ndio wa kwanza kwa mtoto wa Mwalimu!.
Kusema ukweli baadhi ya wanafamilia wa Baba wa Taifa wako too low profile kiasi licha ya mimi kukulia jirani na Pale Msasani huku tukisoma darasa moja na Milton sikuwahi kusikia lolote kumhusu John zaidi ya kusikia alikuwa na cheo cha Capt. wa JWTZ na alikuwa ni fighter pilot wa Jet.
RIP Capt. John Magige Nyerere.
Pasco
Hapo kwenye Bold usahihi ni JOHN GUIDO NYERERE
magige ni EMIL
John Nyerere, mtoto wa nne wa Mwalimu Julius Nyerere, amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya rufaa ya Muhimbili.
Ugonjwa Gani?