johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Katiba ya Bavicha ina ukomo?Kila la kheri kwake
Sasa kama anataka ubunge huko Chadema anafanya nini?Amepiga hesabu vizuri Sana atakuwa na 35 yrs.
Atakuwa na muda mzuri wa kufanikisha mambo mengine muhimu na Kama sio Magufuli angekuwa Mbunge huyo kijana
Ahamie sasa mbogambogaMwenyekit wa Bavicha mwalimu John Pambalu atastaafu rasmi 13 January, 2025 baada ya sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar
Ameandika ukurasani X
Sabato njema
Yule jamaa akishirikiana na wale jamaa wameuza roho za watu wengi sababu ya madaraka na pesa.Mwenyekit wa Bavicha mwalimu John Pambalu atastaafu rasmi 13 January, 2025 baada ya sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar
Ameandika ukurasani X
View attachment 3186891
Sabato njema
Hii nimeipenda sana.Anampa somo kwa vitendo, boss wake.
Wabunge na madiwani wamepungua Bado anang'ang'ania tuHuyu wa juzi juzi kafanya jambo la kistaarabu na hekima ila kuna mtu ana miaka 20 anataka hadi angolewe kwa kwa fedheha.
Viongozi wa kitanzania ni wagumu sana kwenye suala la uwajibikaji( kuachia ngazi)
Kwamba ubunge unapatikana nyumbani kwenu na sio chademaSasa kama anataka ubunge huko Chadema anafanya nini?
Kabisa, angebaki kuwa mshauri tu na kuandaa vijana kushika msukaniWabunge na madiwani wamepungua Bado anang'ang'ania tu
Kama bumunda makala na genge lake ambavyo hawauziki mpaka watumie polisi.kishaona hauziki tena kaamua kuweka mpira kwapani
Kama si Pesa za Abdul angekua Meenyekiti wa KandaAmepiga hesabu vizuri Sana atakuwa na 35 yrs.
Atakuwa na muda mzuri wa kufanikisha mambo mengine muhimu na Kama sio Magufuli angekuwa Mbunge huyo kijana