John Pambalu: 13/01/2025 Nastaafu rasmi kazi hii hatari ya Mwenyekiti wa Bavicha, Kwenye struggle ni lazima kuwa Real kwani imebeba Majonzi na Vilio!

John Pambalu: 13/01/2025 Nastaafu rasmi kazi hii hatari ya Mwenyekiti wa Bavicha, Kwenye struggle ni lazima kuwa Real kwani imebeba Majonzi na Vilio!

Wanalipa madeni Kwa Mbowe 😂
Hapa lazima kuna ufisadi mkubwa sn, tuweke utani pembeni kama chama kilikuwa kinapata ruzuku 400M+ kwa mwezi kilishindwaje kuwa na vitega uchumi vyake? yaani CHADEMA kingekuwa na hoteli Dom na kumbi mbali mbali na apartments kama 500 hivi leo yaani mishahara ya watumishi ingelipwa kupitia miradi pekee na kujenga ofisi za chama kila Wilaya.
 
Amepiga hesabu vizuri Sana atakuwa na 35 yrs.

Atakuwa na muda mzuri wa kufanikisha mambo mengine muhimu na Kama sio Magufuli angekuwa Mbunge huyo kijana
Mbowe kasema Bob Makani 67, na Mzee Mtei 68. Na yeye baada ya mitano tena atakuwa na 68.
 
Mwenyekit wa Bavicha mwalimu John Pambalu atastaafu rasmi 13 January, 2025 baada ya sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar

Ameandika ukurasani X
View attachment 3186891
Sabato njema
"Ni muhimu kuwa real kwenye struggle kwani imebeba majonzi na vilio vya wengi"

Kuna shida huko chadema. Kuna watu hawapo real. Nazidi kumuelewa Lissu
 
Back
Top Bottom