Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Shida ya CDM ukihoji mapato na matumizi unakuwa msaliti, kuna shida kubwa paleNa hata ofisi za mashinani ni michango ya wadau. Hiki chama naanza kuamini ni mradi wa watu flani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ya CDM ukihoji mapato na matumizi unakuwa msaliti, kuna shida kubwa paleNa hata ofisi za mashinani ni michango ya wadau. Hiki chama naanza kuamini ni mradi wa watu flani
Hata magufuli.mlisema hivyo hivyo!Hata yesu hakueleweka kwa familia yale. So kaa kwa kutulia.
Vijamaa kumbe vina lamba asali afu vina jidai vimwana harakati ya maviYeriko na Ntobi hao si wamechukua rushwa kutoka kwa watu wa system
Kwani Chama Cha real estate?chama hiki 2010-2020 kwa ruzuku ile kingekuwa na apartments, kumbe, hotel n.k nyingi sn Dom lakini hela sijui ilikuwa inaenda wapi
Magu mshenzi tu. Mwasisi wa kutekana so dawa ikiwaingia itulieHata magufuli.mlisema hivyo hivyo!
Yule bibi mnasema hivyo hivyo
" Majonzi na Vilio vya wengi""Ni muhimu kuwa real kwenye struggle kwani imebeba majonzi na vilio vya wengi"
Kuna shida huko chadema. Kuna watu hawapo real. Nazidi kumuelewa Lissu
Huku mbona mnapigwa,hamsemiShida ya CDM ukihoji mapato na matumizi unakuwa msaliti, kuna shida kubwa pale
Ndio mkuu hii sentensi ipo na ujumbe sema umewekwa kauzibe kadogo tu" Majonzi na Vilio vya wengi"
Somba sombaHuku mbona mnapigwa,hamsemi
Dr Ulimboka 🐼Magu mshenzi tu. Mwasisi wa kutekana so dawa ikiwaingia itulie
Mwenyewe nilikuwa nadhani ni watu wa maana kumbe ni wapiga diliVijamaa kumbe vina lamba asali afu vina jidai vimwana harakati ya mavi
Hatari snKwani Chama Cha real estate?
Wao wanakodi Fuso za Mbowe 🐼Huku mbona mnapigwa,hamsemi
Hizi ni fedha za umma hilo lipo wazi, kama anaweza kuwapa taifa star milioni 700 anashindwa nini kuchota bilioni 10 akaagiza mabasi ya chama, VOTE ya Ikulu haikaguliwi na mtu yoyoteHuku mbona mnapigwa,hamsemi
Chopa alikuwa anakodi Mrema na kujiwekea " Cha Juu" 😄😄😄Mwenyewe nilikuwa nadhani ni watu wa maana kumbe ni wapiga dili
Hii kitu Mbowe itamchafua sn bora angekaa pembeni kabisa wananchi watapoteza imani na chamaWao wanakodi Fuso za Mbowe 🐼
Haya mambo ya kifisadi wameiga CCMChopa alikuwa anakodi Mrema na kujiwekea " Cha Juu" 😄😄😄
Sitakaa nikaze fuvu kutetea hawa watu hapana kwa kweliMwenyewe nilikuwa nadhani ni watu wa maana kumbe ni wapiga dili
Saa100 anatupiga, mnajisahau mnasema chadema,inapiga fedha!🤣Hizi ni fedha za umma hilo lipo wazi, kama anaweza kuwapa taifa star milioni 700 anashindwa nini kuchota bilioni 10 akaagiza mabasi ya chama, VOTE ya Ikulu haikaguliwi na mtu yoyote
Ila hakuuliwa aliachiwa akasepa zakeDr Ulimboka 🐼