Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Haya ni majangili tupuAbdul na Mcherengwa , Riziwan.. , wanachotufanyia ni SAWA na kutunyonga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ni majangili tupuAbdul na Mcherengwa , Riziwan.. , wanachotufanyia ni SAWA na kutunyonga
MMmh sijui mm mkuu. Mwenye macho haambiwi tazama. Full stopKwani wakati wa Magufuli kauliwa nani?
Usimshuhudie jirani Yako uongo 🐼MMmh sijui mm mkuu. Mwenye macho haambiwi tazama. Full stop
Wenye akili wanajiweka pembeniKila la kheri kwake
Boss wake kwasasa ni kenge ambaye hawezi kusikia hadi damu imtoke masikioniAnampa somo kwa vitendo, boss wake.
Full stop. Kuna uongo na kuna ukweli na wakatabiri atakufa na akafa. So Mungu yupo mkuuUsimshuhudie jirani Yako uongo 🐼
Ukiongea hivyo,ni sawa na mtu anayesema watanzania ndio wanaojua CCM imewatoa wapi na imewapitisha wapi.Vipi mtu wa namna utamchukulia vipi?Walioko chadema ndio wanajua FAM amewatoa wapi na amewapitisha wapi!
Walioko mitandaoni kuweni wapole kura zipigwe!
Mbowe kwaheri.Mwenyekit wa Bavicha mwalimu John Pambalu atastaafu rasmi 13 January, 2025 baada ya sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar
Ameandika ukurasani X
View attachment 3186891
Sabato njema
Hahaha hongera yake,yeye hajaamua kuendelea, agombee hata ujumbe wa kamati kuuMwenyekit wa Bavicha mwalimu John Pambalu atastaafu rasmi 13 January, 2025 baada ya sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar
Ameandika ukurasani X
View attachment 3186891
Sabato njema
sure,Mwenyekit wa Bavicha mwalimu John Pambalu atastaafu rasmi 13 January, 2025 baada ya sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar
Ameandika ukurasani X
View attachment 3186891
Sabato njema
Haya ndio mambo ya kujiuliza huyo dogo aje ccm tumpatie nyamagana chapSasa kama anataka ubunge huko Chadema anafanya nini?
Hakuna wa kumzidi Mzee Mbowe na genge lakeCCM kuna mafisadi zaidi
Mmeiba mali za umma kwenda kununua mabasi ya chamaHakuna wa kumzidi Mzee Mbowe na genge lake
Nyie mnakwiba Ruzuku 😂Mmeiba mali za umma kwenda kununua mabasi ya chama
CCM mnatumikaNyie mnakwiba Ruzuku 😂
Kuendesha keai za kubambikiwachama hiki 2010-2020 kwa ruzuku ile kingekuwa na apartments, kumbe, hotel n.k nyingi sn Dom lakini hela sijui ilikuwa inaenda wapi
CHADEMA 2010-2020 kwa mwezi walikuwa wanaingiza zaidi ya milioni 600 lakini hakuna maendeleo yaliyofanyika, maanake kuna matumizi mabayaKuendesha keai za kubambikiwa
Moja ya vijana wachache sana na wanaojielewa katika siasa za Tanzania, kama sio mbeleko ilipaswa awe mbunge wetu nyamaganaMwenyekit wa Bavicha mwalimu John Pambalu atastaafu rasmi 13 January, 2025 baada ya sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar
Ameandika ukurasani X
View attachment 3186891
Sabato njema