John Pambalu: 13/01/2025 Nastaafu rasmi kazi hii hatari ya Mwenyekiti wa Bavicha, Kwenye struggle ni lazima kuwa Real kwani imebeba Majonzi na Vilio!

John Pambalu: 13/01/2025 Nastaafu rasmi kazi hii hatari ya Mwenyekiti wa Bavicha, Kwenye struggle ni lazima kuwa Real kwani imebeba Majonzi na Vilio!

Walioko chadema ndio wanajua FAM amewatoa wapi na amewapitisha wapi!

Walioko mitandaoni kuweni wapole kura zipigwe!
Ukiongea hivyo,ni sawa na mtu anayesema watanzania ndio wanaojua CCM imewatoa wapi na imewapitisha wapi.Vipi mtu wa namna utamchukulia vipi?
 
Back
Top Bottom