John Pambalu: 13/01/2025 Nastaafu rasmi kazi hii hatari ya Mwenyekiti wa Bavicha, Kwenye struggle ni lazima kuwa Real kwani imebeba Majonzi na Vilio!

John Pambalu: 13/01/2025 Nastaafu rasmi kazi hii hatari ya Mwenyekiti wa Bavicha, Kwenye struggle ni lazima kuwa Real kwani imebeba Majonzi na Vilio!

Huyu wa juzi juzi kafanya jambo la kistaarabu na hekima ila kuna mtu ana miaka 20 anataka hadi angolewe kwa kwa fedheha.

Viongozi wa kitanzania ni wagumu sana kwenye suala la uwajibikaji( kuachia ngazi)
Kahofu chama kitachukuliwa na maria space
 
Umefanya vizuri! Angalia usije ukawa TAL alisema,hatagombea uwenyekiti,kumbe anagombea.
 

Attachments

  • 5900516-2dae5c1f3887d759229713b8a563fcc1.mp4
    7.1 MB
List manufaa anayoyapata na ushahidi
Mikopo ya kukopesha chama bila makubaliano ni nini? 2010-2020 chama kilikuwa kinapata ruzuku ya zaidi ya 400M per month nje na michango kibao, kwanini hakikujenga vitega uchumi kama apartments Dom hata 100 kila moja chama kikawa kinavuta 200K x 100 = 20,000,000 per month?
 
Mwenyekit wa Bavicha mwalimu John Pambalu atastaafu rasmi 13 January, 2025 baada ya sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar

Ameandika ukurasani X
View attachment 3186891
Sabato njema
Ningekushangaa sana kama ungezikataa pesa za mama Abdul huko CCM unakoelekea kumfuata Msigwa na January ilivyokuwa na ukame wa pesa. Umepiga hesabu vizuri kamanda
 
Back
Top Bottom