L longuo A Senior Member Joined Jan 14, 2025 Posts 181 Reaction score 152 Jan 14, 2025 #121 johnthebaptist said: Katiba ya Bavicha ina ukomo? Asije kugeuka kama Mwamba πΌπ Click to expand... Mwamba gani unamzungumiza? Sultani F.I.M ?
johnthebaptist said: Katiba ya Bavicha ina ukomo? Asije kugeuka kama Mwamba πΌπ Click to expand... Mwamba gani unamzungumiza? Sultani F.I.M ?
L longuo A Senior Member Joined Jan 14, 2025 Posts 181 Reaction score 152 Jan 14, 2025 #122 misasa said: Huyu wa juzi juzi kafanya jambo la kistaarabu na hekima ila kuna mtu ana miaka 20 anataka hadi angolewe kwa kwa fedheha. Viongozi wa kitanzania ni wagumu sana kwenye suala la uwajibikaji( kuachia ngazi) Click to expand... Ki africa, Kuachia ngazi kwa hiyari ni ngumu mno watu wanataka wafe wakiwa na madaraka
misasa said: Huyu wa juzi juzi kafanya jambo la kistaarabu na hekima ila kuna mtu ana miaka 20 anataka hadi angolewe kwa kwa fedheha. Viongozi wa kitanzania ni wagumu sana kwenye suala la uwajibikaji( kuachia ngazi) Click to expand... Ki africa, Kuachia ngazi kwa hiyari ni ngumu mno watu wanataka wafe wakiwa na madaraka
misasa JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 14,244 Reaction score 10,073 Jan 14, 2025 #123 longuo A said: Ki africa, Kuachia ngazi kwa hiyari ni ngumu mno watu wanataka wafe wakiwa na madaraka Click to expand... Kabisa mkuu
longuo A said: Ki africa, Kuachia ngazi kwa hiyari ni ngumu mno watu wanataka wafe wakiwa na madaraka Click to expand... Kabisa mkuu
L longuo A Senior Member Joined Jan 14, 2025 Posts 181 Reaction score 152 Jan 14, 2025 #124 misasa said: Kabisa mkuu Click to expand... Labda tumbe kwa vizazi vijavyo