Mwamba gani unamzungumiza? Sultani F.I.M ?Katiba ya Bavicha ina ukomo?
Asije kugeuka kama Mwamba 🐼😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwamba gani unamzungumiza? Sultani F.I.M ?Katiba ya Bavicha ina ukomo?
Asije kugeuka kama Mwamba 🐼😂
Ki africa, Kuachia ngazi kwa hiyari ni ngumu mno watu wanataka wafe wakiwa na madarakaHuyu wa juzi juzi kafanya jambo la kistaarabu na hekima ila kuna mtu ana miaka 20 anataka hadi angolewe kwa kwa fedheha.
Viongozi wa kitanzania ni wagumu sana kwenye suala la uwajibikaji( kuachia ngazi)
Kabisa mkuuKi africa, Kuachia ngazi kwa hiyari ni ngumu mno watu wanataka wafe wakiwa na madaraka
Labda tumbe kwa vizazi vijavyoKabisa mkuu