John Pambalu na Wana-CHADEMA acheni kuwakebei walimu kuwa hawajitambui kisa Mwabukusi nafuu yao kuliko nyie

Sisi CCM sasa washauri waache wewe chawa wao!?
 
nshomile takataka, eti mushumbusi
 
Penda kuangalia mambo kwa maana yake, usipende kujifungia. Suala la akina Mdee CHADEMA walilimaliza akina mdee wakakimbilia mahakama kuu, na mahakama kuu wakatambua maamuzi ya kamati kuu ya CHADEMA ndipo akina Halima wakakimbilia mahakama ya Rufaa mpaka Sasa. Ulitaka CHADEMA wafanyeje?. Wavamie mahakama na kuichoma?.

Kuhusu Pambalu mbona hajawakejeli waalimu? Yeye kataja CWT Kama taasisi na sio walimu wote. Kama TLS walivyofanya na CWT wameshindwa, ndio maana Viongozi wao wanateuliwa kuwa wakuu wa Wilaya.
 

Kuiponda CWT iliyojaa machawa wa ccm ndiyo kuwakebehi walimu!!! Kwanza CWT siyo chama chama walimu! Hilo ni tawi tu la ccm, kama ilivyo kwa uvccm, uwt, nk.
 
Chadema na uelewa wao bado wameshindwa kuwatoa Covid 19 bungeni
 
wakienda kuzikusanya posho za kusahisha mitihani wanajiona miungu wangu tayri πŸ˜•
 
Wananchi wako! Uliwaumba? Au ni mifugo yako? Basi sawa nimeelewa kuwa unamiliki wananchi wako japo sijajua upo nchi gani ambayo naamini ni yako pia na huna ubia na mtu!
 
Wananchi wako! Uliwaumba? Au ni mifugo yako? Basi sawa nimeelewa kuwa unamiliki wananchi wako japo sijajua upo nchi gani ambayo naamini ni yako pia na huna ubia na mtu!
relax, usipanic gentleman πŸ’

hakuna haja ya kumkebehi wala kumdhihaki mwanainchi kwasabb tu eti hajakuelewa au hakuungi mkono ...

jipange vizuri namna ya kujenga hoja na ushawishi hatimae akubaliane nawe. hii ya kumuita majina ya fedheha itawahenyesha mno katika medani ya siasa na sio ungwana pia πŸ’
 
Mbona unaikimbia hoja yako ya wananchi wangu? Kaa humo, acha janjajanja!
 
Mbona unaikimbia hoja yako ya wananchi wangu? Kaa humo, acha janjajanja!
hata kama ni mwanafunzi katika siasa, kuna wakati inafaa kujitenga na ubabaifu. huna haja ya kubabaika na kungangana na vitu dhahiri,

Jimboni pangu,
kwa kebehi, dhihaka na majina yale ya fedheha waliowahi kuitwa wananchi katika jimbo langu, hakuna hata siku moja wananchi katika eneo ninaloliongoza atawasahau watu hao wenye dharau na mihemko wala, atathubutu kuzengea kwenye mkutano wa chama cha kebehi kilichotajwa kwenye hoja ya msingi, wala kuchagua kiongozi wa chama hicho hata awe mzuri, bora na makini kiasi gani πŸ’

hilo nikuhakikishie tu bila mbambamba yoyote πŸ’
 
Harafu Bado Kuna walimu watawaumga mkono chadema
Kabali wala usishupaze shingo tu kwa kuwa unatete ujinga, ni dhahiri ktk kada za kiutumishi zisizojitambua na zinazotumiwa na ccm zinazoongiza ni walimu na polisi. Mimi ninao uzoefu wa kutosha miongoni mwa kada hizo matukio na amri vinavyofanywa ktk eneo la kazi ktk kada hizo ni uthibitisho wa kudharauliwa, kupuuzwa na kufanyiwa kama karai ya ujenzi.

Amri na matukio kama hayo haiwezi kuyakuta ktk kada zingine abadani. Mfano Mwl kuamuriwa kulipa mchango wa mwenge, walimu kuitwa na kupewa maelekezo ya kuhakikisha ccm inapita ili wapate madaraja, wakuu kuteuliwa kwa kujiunga na kundi la ccm hata kwa unafiki. Walimu wote wa kituko kulazimishwa kuvunja vipindi na kwenda kupokea kiongozi wa chama au wa serikali asiyehusuana na shughuli za eneo la kituko cha walimu, nk

Ama kwa polisi hukk ndiko maagizo na amri za viongozi wa chama hutekekezwa bila hata huhoji, kujificha.

Haya wewe unayebisha eleza kada nyingine inayofanyiwa mambo haya?

Ama kuhusu kuwataka kura walimu, hili ni takwa la haki kwa walimu na chama husika na haiondoi ukweli wa kuwaambia walimu tatizo lao na kosa lao ktk kujinasua na makucha ili wawe huru ktk ufanyaji kazi zao walau kiasi kama kada zingine.
 
Mimi ni Mwalimu lakini walimu wenzagu ni waoga na machawa mno kwa watawala,wanasheria ni wasomi wanajitambua wanauwezo kifedha na
wanaujasiri ,walimu ni waoga na njaa kali wako tayari kuuza utu wao.Huo ndio ukweli mchungu, tuache kulamba miguu ya wakubwa. TLS imeonyesha njia.Pambalu hakukosea hata hiyo CWT bure kabisa ni tawi la Serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…