John Pambalu na Wana-CHADEMA acheni kuwakebei walimu kuwa hawajitambui kisa Mwabukusi nafuu yao kuliko nyie

sasa kama Tatizo ni hilo yanini kuwadhihaki wananchi kwa kebehi, dharau na kejeli, then kesho unarudi tena kwa hao hao uliowadhihaki kuwaomba tena wakuchague? 🐒

unaelewa gentleman,
Tatizo la afya ya akili ni kubwa mno,
na miongoni mwa dalili zake za mwanzo sana ni pamoja na kufikiri, kuamua, kusema na kutenda mambo ambayo yanakuathiri wewe mwenyewe 🐒

sasa unamkebehi na kumdhihaki mwanainchi kwa kumuita majina ya fedheha, the kesho unategemea huyo mwananchi akuchague kweli?🐒

hili Tatizo bado linatesa sana chama kilichotajwa kwenye hoja ya msingi na bado 🐒
Sisi CCM sasa washauri waache wewe chawa wao!?
 
Chadema wapo kuvunja vunja hoja, umoja na Malengo ya upinzani.

Wao ni kuponda, kukebei, na kutukana kila anayeshindwa kufanya jambo kama wao wanavyotaka au aliyekosea.

1. Chadema wao Wote walifurushwa bungeni kwa nguvu ya dola je nani aliwabeza hahaha.
2. Wabunge wenu Akina mdee mpaka leo wako bungeni. Licha ya maongezi mengi ya Mbowe na Raisi. Je halikuwemo kwenye makubaliano yake?

Sioni yehemu yoyote dira ambayo viongozi wa chadema na sera wanazoamini wakiwafunda wanachama wao zaidi ya kutwa kusubiri kasoro waanze kulalamika.

Mazao yote ya biashara bei hupanda wakati wa uchaguzi.

Kagera walikata Kahawa sababu ya soko duni.

Kahawa ilikuwa buku Bukoba uganda 5000 kilo. Je wangeondoa vipi hayo mambo kisera. Sasa Kagera vijijjini ni umasikini wa kutupwa tanzania hii. Pamoja na hali nzuri ya hewa vijana wanapakimbia kuja kuwa Malaya au vibarua mjini au visiwani.

Kilichofanya nchi nyingi za kiafrika kuchelewa kupata Uhueru ni.
1. Lack of unity
2. Lack of Strong Leadership
3. Lack of fund.
4. Lack of strong Ideology toward Freedom.

Sioni ubora wa Chadema kwenye kujenga sera. Mnaweza kupata mvuto bila kubeza mtu, kutukana au kusimangana.

Sio wafanyakazi, Wakulima, Vijana wa mtaani na wasomi waliokosa ajira na kuwa machawa, wafanyabiashara na wachimbaji migodini. Wana kero nyingi mno.

Kama kiongozi kwanza fanyeni tafiti za kina za vyanzo vya matatizo, njia ya kuyakabiri, Jinsi ya kuunganisha makundi yote wawe kitu kimoja. Sio kuwagawa.

Leo wakulima wakilia bei mbovu ya mazao wafanyakazi wanawacheka kuwa ata wao mishahara, Pensheni na vyama vyao vinawaumiza.

MMfanyakazi akilia kikokotoo kibovu mfanyabiashara na mkulima wanaona akishugulikiwa atafaidi bora wateseke kama wao.

Andaeni sera wazi, Unganisheni nguvu. onesheni Jinsi maslahi ya Mfanyakaz yatakavyoinua biashara. Au bei nzuri za mazao zitakavyojenga uchumi vijijini. Na uchumi mzuri vijijini ni maisha mazuri kwa watumishi wa uma uko.

Pia itachochea kilimo na Pato la taifa na Ajira serikalini na Secta binafsi.

Nipe mawasiliano tuandae sera bora ata msiposhinda iwasaidie watakaoshinda kubadili nchi.

Kikubwa muache kukoment vitu kwa hisia. Tuwe focus na Sera na kero zisiwe msingi wa chama.

Chama cha kisiasa uongozwa na sera. Na vvyma vya Kigaidi uongozwa na itikadi na harakati.View attachment 3061284
nshomile takataka, eti mushumbusi
 
Penda kuangalia mambo kwa maana yake, usipende kujifungia. Suala la akina Mdee CHADEMA walilimaliza akina mdee wakakimbilia mahakama kuu, na mahakama kuu wakatambua maamuzi ya kamati kuu ya CHADEMA ndipo akina Halima wakakimbilia mahakama ya Rufaa mpaka Sasa. Ulitaka CHADEMA wafanyeje?. Wavamie mahakama na kuichoma?.

Kuhusu Pambalu mbona hajawakejeli waalimu? Yeye kataja CWT Kama taasisi na sio walimu wote. Kama TLS walivyofanya na CWT wameshindwa, ndio maana Viongozi wao wanateuliwa kuwa wakuu wa Wilaya.
 
Chadema wapo kuvunja vunja hoja, umoja na Malengo ya upinzani.

Wao ni kuponda, kukebei, na kutukana kila anayeshindwa kufanya jambo kama wao wanavyotaka au aliyekosea.

1. Chadema wao Wote walifurushwa bungeni kwa nguvu ya dola je nani aliwabeza hahaha.
2. Wabunge wenu Akina mdee mpaka leo wako bungeni. Licha ya maongezi mengi ya Mbowe na Raisi. Je halikuwemo kwenye makubaliano yake?

Sioni yehemu yoyote dira ambayo viongozi wa chadema na sera wanazoamini wakiwafunda wanachama wao zaidi ya kutwa kusubiri kasoro waanze kulalamika.

Mazao yote ya biashara bei hupanda wakati wa uchaguzi.

Kagera walikata Kahawa sababu ya soko duni.

Kahawa ilikuwa buku Bukoba uganda 5000 kilo. Je wangeondoa vipi hayo mambo kisera. Sasa Kagera vijijjini ni umasikini wa kutupwa tanzania hii. Pamoja na hali nzuri ya hewa vijana wanapakimbia kuja kuwa Malaya au vibarua mjini au visiwani.

Kilichofanya nchi nyingi za kiafrika kuchelewa kupata Uhueru ni.
1. Lack of unity
2. Lack of Strong Leadership
3. Lack of fund.
4. Lack of strong Ideology toward Freedom.

Sioni ubora wa Chadema kwenye kujenga sera. Mnaweza kupata mvuto bila kubeza mtu, kutukana au kusimangana.

Sio wafanyakazi, Wakulima, Vijana wa mtaani na wasomi waliokosa ajira na kuwa machawa, wafanyabiashara na wachimbaji migodini. Wana kero nyingi mno.

Kama kiongozi kwanza fanyeni tafiti za kina za vyanzo vya matatizo, njia ya kuyakabiri, Jinsi ya kuunganisha makundi yote wawe kitu kimoja. Sio kuwagawa.

Leo wakulima wakilia bei mbovu ya mazao wafanyakazi wanawacheka kuwa ata wao mishahara, Pensheni na vyama vyao vinawaumiza.

MMfanyakazi akilia kikokotoo kibovu mfanyabiashara na mkulima wanaona akishugulikiwa atafaidi bora wateseke kama wao.

Andaeni sera wazi, Unganisheni nguvu. onesheni Jinsi maslahi ya Mfanyakaz yatakavyoinua biashara. Au bei nzuri za mazao zitakavyojenga uchumi vijijini. Na uchumi mzuri vijijini ni maisha mazuri kwa watumishi wa uma uko.

Pia itachochea kilimo na Pato la taifa na Ajira serikalini na Secta binafsi.

Nipe mawasiliano tuandae sera bora ata msiposhinda iwasaidie watakaoshinda kubadili nchi.

Kikubwa muache kukoment vitu kwa hisia. Tuwe focus na Sera na kero zisiwe msingi wa chama.

Chama cha kisiasa uongozwa na sera. Na vvyma vya Kigaidi uongozwa na itikadi na harakati.View attachment 3061284

Kuiponda CWT iliyojaa machawa wa ccm ndiyo kuwakebehi walimu!!! Kwanza CWT siyo chama chama walimu! Hilo ni tawi tu la ccm, kama ilivyo kwa uvccm, uwt, nk.
 
wakienda kuzikusanya posho za kusahisha mitihani wanajiona miungu wangu tayri 😕
 
sio kuwakebehi walimu pekee , bali pia wana tabia ya kuwakebehi wananchi wote tena kwa dhihaka na dharau sana kwa kuwaita majina ya fedheha wananchi, hususani pale wanaposhindwa kwa hoja majukwaani au kukataliwa kwao kwenye sanduku la kura...

hata hivyo,
kwenye baadhi ya maeneo hususani jimboni pangu dhana na mtindo wao wa kukebehi wananchi inawatafuna vizuri sana mpaka leo, huwa hawaskizwi kabisa, na impact ya dhihaka zao kwa wananchi hazitakuja kufutika daima katika fikra za wananchi wangu waerevu pale jimboni..

haiwezekani umdhihaki mwanainchi huyo kwa kebehi na dharau leo, then kesho ukamuombe akuunge mkono au akupigie kura,

hiyo ustaarabu haiko kwenye uwanja wa demokrasia na haiwezekani kukupa mafanikio hata kidogo 🐒

kwahiyo ni muhimu zaidi huo ustaarabu wa hicho chama ukakemewa Lakini pia ukapuuzwa na wanainchi ili iwe fundisho kwa wengine 🐒
Wananchi wako! Uliwaumba? Au ni mifugo yako? Basi sawa nimeelewa kuwa unamiliki wananchi wako japo sijajua upo nchi gani ambayo naamini ni yako pia na huna ubia na mtu!
 
relax, usipanic gentleman 🐒

hakuna haja ya kumkebehi wala kumdhihaki mwanainchi kwasabb tu eti hajakuelewa au hakuungi mkono ...

jipange vizuri namna ya kujenga hoja na ushawishi hatimae akubaliane nawe. hii ya kumuita majina ya fedheha itawahenyesha mno katika medani ya siasa na sio ungwana pia 🐒
 
Mbona unaikimbia hoja yako ya wananchi wangu? Kaa humo, acha janjajanja!
 
hata kama ni mwanafunzi katika siasa, kuna wakati inafaa kujitenga na ubabaifu. huna haja ya kubabaika na kungangana na vitu dhahiri,

Jimboni pangu,
kwa kebehi, dhihaka na majina yale ya fedheha waliowahi kuitwa wananchi katika jimbo langu, hakuna hata siku moja wananchi katika eneo ninaloliongoza atawasahau watu hao wenye dharau na mihemko wala, atathubutu kuzengea kwenye mkutano wa chama cha kebehi kilichotajwa kwenye hoja ya msingi, wala kuchagua kiongozi wa chama hicho hata awe mzuri, bora na makini kiasi gani 🐒

hilo nikuhakikishie tu bila mbambamba yoyote 🐒
 
Harafu Bado Kuna walimu watawaumga mkono chadema
Kabali wala usishupaze shingo tu kwa kuwa unatete ujinga, ni dhahiri ktk kada za kiutumishi zisizojitambua na zinazotumiwa na ccm zinazoongiza ni walimu na polisi. Mimi ninao uzoefu wa kutosha miongoni mwa kada hizo matukio na amri vinavyofanywa ktk eneo la kazi ktk kada hizo ni uthibitisho wa kudharauliwa, kupuuzwa na kufanyiwa kama karai ya ujenzi.

Amri na matukio kama hayo haiwezi kuyakuta ktk kada zingine abadani. Mfano Mwl kuamuriwa kulipa mchango wa mwenge, walimu kuitwa na kupewa maelekezo ya kuhakikisha ccm inapita ili wapate madaraja, wakuu kuteuliwa kwa kujiunga na kundi la ccm hata kwa unafiki. Walimu wote wa kituko kulazimishwa kuvunja vipindi na kwenda kupokea kiongozi wa chama au wa serikali asiyehusuana na shughuli za eneo la kituko cha walimu, nk

Ama kwa polisi hukk ndiko maagizo na amri za viongozi wa chama hutekekezwa bila hata huhoji, kujificha.

Haya wewe unayebisha eleza kada nyingine inayofanyiwa mambo haya?

Ama kuhusu kuwataka kura walimu, hili ni takwa la haki kwa walimu na chama husika na haiondoi ukweli wa kuwaambia walimu tatizo lao na kosa lao ktk kujinasua na makucha ili wawe huru ktk ufanyaji kazi zao walau kiasi kama kada zingine.
 
Mimi ni Mwalimu lakini walimu wenzagu ni waoga na machawa mno kwa watawala,wanasheria ni wasomi wanajitambua wanauwezo kifedha na
wanaujasiri ,walimu ni waoga na njaa kali wako tayari kuuza utu wao.Huo ndio ukweli mchungu, tuache kulamba miguu ya wakubwa. TLS imeonyesha njia.Pambalu hakukosea hata hiyo CWT bure kabisa ni tawi la Serikali.
 
Back
Top Bottom