the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Mwenyekiti wa BAVICHA, John Pambalu amesema amepita kwenye ofisi kadhaa huko Newala na kukuta ofisi zimefungwa. Akitolea mfano Kijiji cha Mnyambe, Kata ya Mnyambe ambapo mpaka saa saba mchana, msimamizi wa uchaguzi alikuwa amefunga ofisi na kukimbia. Ameongeza kuwa mgombea kupitia CHADEMA ameshajaza fomu lakini ameshindwa kuirudisha kutokana na msimamizi huyo kutokuwepo ofisini.
Wakuu Je, CCM wanaogopa wapinzani kuchukua fomu?
Wakuu Je, CCM wanaogopa wapinzani kuchukua fomu?