LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Mimi huwa sioni sababu ya Ccm na serikali yake kutangaza uchaguzi maana huwa matumizi mabaya ya pesa za umma. Huu ni sawa na uhujumu uchumi.Mwenyekiti wa BAVICHA, John Pambalu amesema amepita kwenye ofisi kadhaa huko Newala na kukuta ofisi zimefungwa. Akitolea mfano Kijiji cha Mnyambe, Kata ya Mnyambe ambapo mpaka saa saba mchana, msimamizi wa uchaguzi alikuwa amefunga ofisi na kukimbia. Ameongeza kuwa mgombea kupitia CHADEMA ameshajaza fomu lakini ameshindwa kuirudisha kutokana na msimamizi huyo kutokuwepo ofisini.
View attachment 3139099
View attachment 3139097
Wakuu Je, CCM wanaogopa wapinzani kuchukua fomu?
Bora kusiwe na uchaguzi wakae wenyewe hadi aatakapo ridhaa ndipo wawe serious na uchaguzi wa kweli