LGE2024 John Pambalu: Wasimamizi wa Uchaguzi jimbo la Newala Vijijini hawapo vituoni kutoa na kupokea fomu za wagombea

LGE2024 John Pambalu: Wasimamizi wa Uchaguzi jimbo la Newala Vijijini hawapo vituoni kutoa na kupokea fomu za wagombea

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Chadema msitafute kisingizio tumeona mlivokuwa nyuma kwenye uhamasishaji wakati wa uandikishaji hvyo msubiri kupigwa na kitu kizito.
Nchi hii bora ccm iendelee kuongoza lakini sio hivi vyama visivyojitambua vinataka nini
Hebu na wewe wacha kutapika minyoo mbele za watu! Kichwa kidogo mpaka kinakosa ubongo!
 
Kwani idadi ya mawakala ndio idadi ya kura? Au usipokuwa na wakala sehemu maana yake ni kushindwa? Hata hivyo kwa uchaguzi gani boss wa hadi kukupa hizo data? Haya maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura nao unaita uchaguzi?
Sasa mkuu tufanyaje? Kama tumeshakubali kuwa ccm haiwezi kutoka kwa njia ya uchaguz?
 
Sasa mkuu tufanyaje? Kama tumeshakubali kuwa ccm haiwezi kutoka kwa njia ya uchaguz?
Nakushangaa unapojisifia kuwa ccm itashinda, wakati hakuna uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Mwenyekiti wa BAVICHA, John Pambalu amesema amepita kwenye ofisi kadhaa huko Newala na kukuta ofisi zimefungwa. Akitolea mfano Kijiji cha Mnyambe, Kata ya Mnyambe ambapo mpaka saa saba mchana, msimamizi wa uchaguzi alikuwa amefunga ofisi na kukimbia. Ameongeza kuwa mgombea kupitia CHADEMA ameshajaza fomu lakini ameshindwa kuirudisha kutokana na msimamizi huyo kutokuwepo ofisini.

View attachment 3139099

View attachment 3139097
Wakuu Je, CCM wanaogopa wapinzani kuchukua fomu?
Maccm ni mashetani makubwa sana!
 
Kusema ukweli hakuna kipindi kigumu taifa linapitia katika siasa kama uongozi wa awamu ya tano na sita. Sijui nani ataliokoa taifa hili kurudi kwenye misingi yake ya utawala bora.

Hivi kweli wana usalama wa taifa hili wamekubali Ccm iliendeshe taifa inavyotaka mpaka lini. Kwanini wasiamke mapema wakati taifa bado lina rasilimali za kuliendeleza. Inasikitisha sana unapoona hata usalama wa taifa wanaamua kushirikiana na Ccm kulihujumu hili taifa.

Ccm hawana wanakotupeleka jamani nchi inaliwa, watu wanauawa, wananyanyaswa na kuhamishwa kwenye maeneo yao. Rasilimali za taifa zinahujumiwa na kugawiwa kwa wageni utadhani taifa halina mwenyewe.

Huyu mama hafai kabisa kuendelea kuliongoza taifa limemshinda kwa kiwango kikubwa haijawahi kutokea.
 
Mwenyekiti wa BAVICHA, John Pambalu amesema amepita kwenye ofisi kadhaa huko Newala na kukuta ofisi zimefungwa. Akitolea mfano Kijiji cha Mnyambe, Kata ya Mnyambe ambapo mpaka saa saba mchana, msimamizi wa uchaguzi alikuwa amefunga ofisi na kukimbia. Ameongeza kuwa mgombea kupitia CHADEMA ameshajaza fomu lakini ameshindwa kuirudisha kutokana na msimamizi huyo kutokuwepo ofisini.

View attachment 3139099

View attachment 3139097
Wakuu Je, CCM wanaogopa wapinzani kuchukua fomu?
Legacy ya Pambalu pale chadema ni kuongea akizungusha kichwa, hana legacy ya itikadi
 
Zamani wazazi waelewa kama kila mara unarudi nyumbani unalia unaulizwa kwanini upigwe kila mara?
 
Ha ha ha haaaa safari hii kazi mnayo ccm mbele kwa mbele
Kajinga, kanajisifia ujinga! CCM mnajua kwenye sanduku la kura nyie ni wepesi sana lazima mfanye figisu za kijinga! Na hili mama nalo kama halitumii ubongo vile
 
Kusema ukweli hakuna kipindi kigumu taifa linapitia katika siasa kama uongozi wa awamu ya tano na sita. Sijui nani ataliokoa taifa hili kurudi kwenye misingi yake ya utawala bora.
Tuliokota matakataka mkuu!
 
Back
Top Bottom