the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
ccm bhana wameweka mpira kwapani walifikiri chadema imekufa kumbe ndo kwanza ngoma mbichi. watendaji wengi ni makada wa ccmAnaandika John Pambalu mwenyekiti wa Baraza la vijana CHADEMA (BAVICHA) taifa kupitia ukurasa wake wa X
"Wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi wote wa vijiji vya jimbo la Newala vijini,wilaya ya Newala wamekimbia ofisi zao. Hii ni ofisi ya kijiji cha Mnyambe."
View attachment 3139107
Viongozi wa Mnyambe! Yale yale yameanza. Mahakama inatakiwa ifunguke ijue kabisa haki haiwezi kutendeka kwa wasimamizi wa aina hii! CHADEMA na nyie kuweni katili, ofisi zote mnazokuta zimefungwa pigeni kiberiti! Zote mnazilipua kwa wakati mmojaFigisu zinaendelea..
Anaandika John Pambalu mwenyekiti wa Baraza la vijana CHADEMA (BAVICHA) taifa kupitia ukurasa wake wa X
"Wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi wote wa vijiji vya jimbo la Newala vijini,wilaya ya Newala wamekimbia ofisi zao. Hii ni ofisi ya kijiji cha Mnyambe."
View attachment 3139107
Umeelewa kilichoandikwa lakini?.Chadema hawana akili kabisa.
Chadrama imejaa madrama tu.
Chama dhaifu sana.
Mimi naona wewe ndio huna akili maana sioni kwanini unawasakama hivyo wakati kila kitu kiko wazi.Chadema hawana akili kabisa.
Chadrama imejaa madrama tu.
Chama dhaifu sana.
Kwahiyo wanataka sisi tufanyeje sasa?Mimi naona wewe ndio huna akili maana sioni kwanini unawasakama hivyo wakati kila kitu kiko wazi.