Hebu na wewe wacha kutapika minyoo mbele za watu! Kichwa kidogo mpaka kinakosa ubongo!Chadema msitafute kisingizio tumeona mlivokuwa nyuma kwenye uhamasishaji wakati wa uandikishaji hvyo msubiri kupigwa na kitu kizito.
Nchi hii bora ccm iendelee kuongoza lakini sio hivi vyama visivyojitambua vinataka nini
Sasa mkuu tufanyaje? Kama tumeshakubali kuwa ccm haiwezi kutoka kwa njia ya uchaguz?Kwani idadi ya mawakala ndio idadi ya kura? Au usipokuwa na wakala sehemu maana yake ni kushindwa? Hata hivyo kwa uchaguzi gani boss wa hadi kukupa hizo data? Haya maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura nao unaita uchaguzi?
Ha ha ha haaaa safari hii kazi mnayo ccm mbele kwa mbeleHebu na wewe wacha kutapika minyoo mbele za watu! Kichwa kidogo mpaka kinakosa ubongo!
Nakushangaa unapojisifia kuwa ccm itashinda, wakati hakuna uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.Sasa mkuu tufanyaje? Kama tumeshakubali kuwa ccm haiwezi kutoka kwa njia ya uchaguz?
Maccm ni mashetani makubwa sana!Mwenyekiti wa BAVICHA, John Pambalu amesema amepita kwenye ofisi kadhaa huko Newala na kukuta ofisi zimefungwa. Akitolea mfano Kijiji cha Mnyambe, Kata ya Mnyambe ambapo mpaka saa saba mchana, msimamizi wa uchaguzi alikuwa amefunga ofisi na kukimbia. Ameongeza kuwa mgombea kupitia CHADEMA ameshajaza fomu lakini ameshindwa kuirudisha kutokana na msimamizi huyo kutokuwepo ofisini.
View attachment 3139099
View attachment 3139097
Wakuu Je, CCM wanaogopa wapinzani kuchukua fomu?
Legacy ya Pambalu pale chadema ni kuongea akizungusha kichwa, hana legacy ya itikadiMwenyekiti wa BAVICHA, John Pambalu amesema amepita kwenye ofisi kadhaa huko Newala na kukuta ofisi zimefungwa. Akitolea mfano Kijiji cha Mnyambe, Kata ya Mnyambe ambapo mpaka saa saba mchana, msimamizi wa uchaguzi alikuwa amefunga ofisi na kukimbia. Ameongeza kuwa mgombea kupitia CHADEMA ameshajaza fomu lakini ameshindwa kuirudisha kutokana na msimamizi huyo kutokuwepo ofisini.
View attachment 3139099
View attachment 3139097
Wakuu Je, CCM wanaogopa wapinzani kuchukua fomu?
Kajinga, kanajisifia ujinga! CCM mnajua kwenye sanduku la kura nyie ni wepesi sana lazima mfanye figisu za kijinga! Na hili mama nalo kama halitumii ubongo vileHa ha ha haaaa safari hii kazi mnayo ccm mbele kwa mbele
Tuliokota matakataka mkuu!Kusema ukweli hakuna kipindi kigumu taifa linapitia katika siasa kama uongozi wa awamu ya tano na sita. Sijui nani ataliokoa taifa hili kurudi kwenye misingi yake ya utawala bora.
Vipi kuhusu Lissu?Mlisema Magufuli ni DIKTETA, sasa pambaneni na samia ambaye sio dikteta.
Watanzania wote wenye akili hawawezi kuisapoti CHAGADEMA.
CHAGADEMA ni wahuni hawajielewi.