Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Haimaanishi ijuirudieTujikumbushe wakuu…
John Samwel Malecela aliwahi kuwa Waziri Mkuu kisha baadae alipoukosa u-PM akawa Mbunge wa kawaida mpaka pale alipostaafu na kumuachia Kibajaj jimbo la Mtera.
Kwahiyo hakuna jipya wala msishangae mkimuona PM wa sasa anasema atagombea tena Ubunge.
Lolote linaweza kutokea…
Acha kuzubaa.Alikuwa mbunge huku anavizia uteuzi wa uwaziri.Hata hilo unataka kumdanganya nani?Tujikumbushe wakuu…
John Samwel Malecela aliwahi kuwa Waziri Mkuu kisha baadae alipoukosa u-PM akawa Mbunge wa kawaida mpaka pale alipostaafu na kumuachia Kibajaj jimbo la Mtera.
Kwahiyo hakuna jipya wala msishangae mkimuona PM wa sasa anasema atagombea tena Ubunge.
Lolote linaweza kutokea…
Kawaida sanaHaimaanishi ijuirudie
Yaani utoke Uwaziri Mkuu mpaka uwe waziri wa kawaida? KamonAcha kuzubaa.Alikuwa mbunge huku anavizia uteuzi wa uwaziri.Hata hilo unataka kumdanganya nani?
Ngoja nimpigie Simon Nyakoro Siro atueleze jinsi ya kulima mpunga mabondeni.Yaani utoke Uwaziri Mkuu mpaka uwe waziri wa kawaida? Kamon
Kugombea ni haki yake na hakuna cha ajabu.Tujikumbushe wakuu…
John Samwel Malecela aliwahi kuwa Waziri Mkuu kisha baadae alipoukosa u-PM akawa Mbunge wa kawaida mpaka pale alipostaafu na kumuachia Kibajaj jimbo la Mtera.
Kwahiyo hakuna jipya wala msishangae mkimuona PM wa sasa anasema atagombea tena Ubunge.
Lolote linaweza kutokea…
Uko hapa kusapoti wanaume wenzako? huu ndii ujinga katika maisha yang sitarajii kuufanyaTujikumbushe wakuu…
John Samwel Malecela aliwahi kuwa Waziri Mkuu kisha baadae alipoukosa u-PM akawa Mbunge wa kawaida mpaka pale alipostaafu na kumuachia Kibajaj jimbo la Mtera.
Kwahiyo hakuna jipya wala msishangae mkimuona PM wa sasa anasema atagombea tena Ubunge.
Lolote linaweza kutokea…
Ndiyo tamaa tu hizoTujikumbushe wakuu…
John Samwel Malecela aliwahi kuwa Waziri Mkuu kisha baadae alipoukosa u-PM akawa Mbunge wa kawaida mpaka pale alipostaafu na kumuachia Kibajaj jimbo la Mtera.
Kwahiyo hakuna jipya wala msishangae mkimuona PM wa sasa anasema atagombea tena Ubunge.
Lolote linaweza kutokea…
Hoja ni kwamba si peke yake kule Rungwa astaafu awaachie na wengineTujikumbushe wakuu…
John Samwel Malecela aliwahi kuwa Waziri Mkuu kisha baadae alipoukosa u-PM akawa Mbunge wa kawaida mpaka pale alipostaafu na kumuachia Kibajaj jimbo la Mtera.
Kwahiyo hakuna jipya wala msishangae mkimuona PM wa sasa anasema atagombea tena Ubunge.
Lolote linaweza kutokea…
Wote walipoamua kugombea vyeo vya siasa tena wakiwa mawaziri wakuu miakq 10 akiwemo Sumaye na Lowasa walipoteza heshima zao hadi leo kwa watanzania walio wengiLowassa hata Msuya
Kawaida sana 😁😁🇹🇿
Mkuu, kule North Korea na Irani ahadi ni mabomu ya nyuklia.Ahadi bado ni barabara, maji, hospitali na shule.