The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Tujikumbushe wakuu…
John Samwel Malecela aliwahi kuwa Waziri Mkuu kisha baadae alipoukosa u-PM akawa Mbunge wa kawaida mpaka pale alipostaafu na kumuachia Kibajaj jimbo la Mtera.
Kwahiyo hakuna jipya wala msishangae mkimuona PM wa sasa anasema atagombea tena Ubunge.
Lolote linaweza kutokea…
Taarifa. Malecela hakustaafu na kumuachia Jimbo Kibajaji bali alishindwa uchaguzi na KIbajaji.
Wakati Malecela anashindwa Ubunge na Kibajaji Wastaafu hawakuwa na Mafao MANONO kama sasa ambapo hata wala URODA wanafaidika na mafao ya wenzi wao.