Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Baada ya andiko la Mwanachama wa JamiiForums.com lililokuwa na kichwa cha Habari ~ John Shibuda alinunua chama cha Siasa cha Oscer Kambona kisha akakiuza Unguja kwa Wapemba, kwenye Siasa lolote linawezekana Mbowe siyo wa kwanza!
Shibuda mwenyewe Amejibu kuhusu andiko hilo kwa kuandika haya...
Ndugu Wana JamiiForums,
Nasikitika Sana Kwa Huu Uongo Mtamu Uundao Ukweli Bandia Wa Kwamba Nilinunua Chama Cha TADEA.
Shibuda Sijawahi Kununua Chama Cha Siasa.
Ifahamike Kwamba Staa Wa Mpira Kama Ronaldo Ama Messi Hawanunui Klabu Za Mpira Bali Klabu Za Mpira Huwanunua. Klabu Za Mpira Husajili Waliowanunua Waitwao Mastaa.
Mastaa Wanaonunuliwa Ndio Waitwao Wapandisha Thamani Ya Sifa Za Maarifa Na Weledi Wa Kushindisha Timu Ya Klabu.
Shibuda NiliKaribishwa Kwenye Chama Cha TADEA Na Viongozi Wa TADEA Na Kupewa Dhamana Ya Katibu Mkuu Wa Chama Cha TADEA. Nilikuwa Role model For The Party Destiny Politics.
Ikumbukwe Kwamba Kila Chama Cha Siasa Hutafuta Wanasiasa Wa Kuinua Na Kukweza Ushindi Wa Kishindo Wa Kushindania Upendo Rafiki Wenye Imani Rafiki Za Wapiga Kura. Case Study- CCM Party.
Demokrasia Ya Vyama Vingi Ni Kushindania Upendo Rafiki Wa Imani Rafiki Za Wanaujamii.
Ifahamike Kwamba Vyama Vya Siasa Hutafuta Wanasiasa Wenye Maarifa Chanya Ya Umuhimu Wapekee Kwa Mvuto Rafiki Wa Wanaujamii Wavutike Washikamane Na Chama Cha Siasa Chenye Azma Ya Kupiku Washindani.
Ktk Mfumo Wa Vyama Vingi Ni Kila Chama Kuwa Na Juhudi Njema Za Kushinda Ktk Ushindaniaji Wa Kura Rafiki Za Wanaujamii.
Kwa Hiyo Sasa Without Research Sahihi Ya Maarifa Na Weledi Sahihi Ni Kutengeneza Kuundika Kwa Dhana Za Uongo Mtamu. Uongo Mtamu Uundao Ukweli Bandia Wa Kutoa Sifa Ovu Kwa Mtu Asiye Na Kasoro Ziundazo Hitilafu Kwa Zake Sifa Kamilifu Za Uadilifu..
Mtu Mtoa Taarifa Jamii Forum Za Kutambulisha Kasoro Za Kuundwa Na Wasanifu Wa Ramli Chonganishi,,
Kwa Hiyo Sasa Huyu Muongo Aliyenena Naomba Asaidiwe Adumu Kuwa Na Afya Njema Kiakili.
Na Kwa Hiyo Sasa, Mtu Huyu Muongo Aliyenena Asaidiwe Kuepuka Kuwa Ni Kielelezo Cha Kuitwa Mueneza Uongo Mtamu.
Hivyo Sasa Kisiasa Aepushwe Kuwa Ni Tope Atopeshakae Akaunda Kuitwa Jina La Kubwa Jinga.
Ndugu Wa JamiiForums, Epukeni Watu Watangazaji Wa History Maalum Za Wanaujamii,, Kumbe Hawa Watangazaji Ni Watu Watangazaji Wa Kujua Wasiyoyajua. Jamii Forum kumbukeni Shilling Ina Pande Mbili.
Kwa Hiyo Sasa Timu Ya Mhariri Wa JamiiForums, Kabla Ya Kutangaza Neno La Kuhusu Tafakari Tunduizi Za Miiko Ya Maadili Nashauri Sio Vibaya Kujua Wasiyoyajua.
JamiiForums Leo Natumaini Nimewapa Jawabu Sahihi Lenye Jibu Sahihi Dhidi Ya Micharuko Ya Maneno Matamu Ya Kuvikwa Vipodozi Chapa Umbea.
TZ Mola Azidi Kuwanusuru Wapotoshaji Wabunifu Wa Kusanifu Na Kujenga Fitina. Wambea Wa Kujua Wasiyoyajua.
JamiiForums, Je Dalali Aliyeniuzia Ni Nani ??? Huyu Aliyenena Fitina Za Ununuzi Za Kuunda Kuundika Kwa Dhana Potofu Za Kuinua Sifa Hasi.
Na Kwa Hiyo Sasa, Nasema Kisiasa Mimi Hutafutwa Na Vyama Vya Siasa Kinzani. Mimi Ni Society Political Faith And Trust Star.
Mimi Ni Society Faith And Trust Opinion Maker.. Kitaifa Tupo Wachache Ndio Maana Nipo Kimya. Kimya Kina Kishindo.
Mimi Huwa Nahitajika Niinue Thamani Ya Sifa Sahihi Za Kusadikika Chama Cha Siasa Kuwa Ni Chama Sauti Ya RUfaa Kwa Maslahi Ya Jamii Na Kwa Maslahi Ya Taifa Letu Hili.
Mimi Kisiasa Ni Society Influencer Na Ni Opinion Maker Kwa Faith And Trust To Community. Mimi Kisiasa Ni Mshawishi Wa Kusema Kwa Umma Kipi Ni Chama Maslahi Kwa Shauku Za Umma Za Kupatikana Kwa Sikio Sikizaji Kwa Huzuni Za Wanaujamii Na Za Taifa.
Mimi Kisiasa Ni Society Influencer Wa Kutenda Political Culturing And Political Branding Protocols For Domestication To Community Faith And Trust.
Mimi Kisiasa Ni Msanifu Wa Siasa Dadisi Zenye Kujenga Ushawishi Sahihi Wa Kisiasa Wa Kuunda Siasa Kinzani Zenye Mapiku Yenye Turufu Za Ushawishi Rafiki Na Sahihi Wenye Nguvu Za Hoja Dadisi.
Mimi Kisiasa Ni Mjenzi Wa Kuunda Hodari Za Hoja Dadisi Zenye Mvuto Rafiki Wenye Ushawishi Sahihi Wa Kugusa Hisia Rafiki Na Kukonga Mioyo Migumu Ya Wanaujamii. Nao Hawa Wanaujamii Wenye Mioyo Migumu Wawe Waambatana Na Chama Nilicho Mimi.
I Walk In The Wisdom Ya Kutengua Na Kukunjua Sintofahamu Za Kuundwa Na Vitendawili Vya Siasa Za Kupumbaza Na Siasa Za Kuduwaza Na Za Kudhulumu Imani Njema Za Umma Wa Wapiga Kura. Mimi Kisiasa Ni Mchezaji Wa Kutafuta Kura Rafiki Kwa Mavuno Ya Kura Za Ushindi. Etc etc etc etc.
Duniani Ikumbukwe Kwamba Kisiasa, Mtu Wa Majaaliwa Yake Mola,,Na Kwa Hiyo Sasa, Ifahamike Kwamba Mwenyezi Mungu Mpaji Wa Yote, Kwa Aliyempatia Taranta Ya Vipaji Vyenye Karama Za Tunu Za Hekima Sahihi. Hekima Sahihi Za Kuongoza Busara Za Waongozwa,,Daima Mtu Huyu Hapokonyeki Zake Baraka Kwa Mifumo Ya Husda. Hususani Husda Za Kusajiliwa Na Umbea Wa Uongo Mtamu. Uongo Mtamu Uundao Ukweli Bandia Wa Umwenzetu Na Sio Mwenzetu.
Duniani Daima Mtu Wa Sifa Za Uwezo Wa Uthubuti Wa Kukonga Mioyo Migumu Ya Wanaujamii Hanunui Chama.
Kwa Hiyo Sasa Vyama Vya Kushindania Upendo Rafiki Wa Imani Rafiki Za Wanaujamii Daima Hutafuta Chambo Cha Kufanikisha Mtu Mwenye Vipaji Awe Mwanachama Wao.
Ronaldo Star Player Leo Yupo Uarabuni. Kwa Sababu Mcheza Ngoma Hutunzwa.
Je Waliotoka CDM Party Na Kwenda CCM Party Wameinunua CCM Party ??? Case Study-
TZ Mtu Mzushi Huyu Aliye Ndani Ya Umma Wa Jamii Forum, Nanena Yake Tuzo Stahiki Nampa Heri Adumu Na Chake Kipodozi Chapa Umbea.
Mola Kwa Huyu Mtu Muongo Naomba Umjaalie Wokovu Anusurike Na Sifa Hasi Za Mvuto Wa Kuzimua Ibuko La Kuitwa Ni Mtu Msengenyaji. Mtu Msengenyaji Wa Kundi Watu Waitwao,, Timu Ya Klabu Ya Wanafiki.
Duniani Kwa Kuwa Mnafiki Hafi Hadi Ameumbuka. Kwa Hiyo Sasa Yake Yote Mzushi Huyu,, Mzushi Wa Fitina Za Kusokotwa Na Uongo Mtamu,, Sasa Namrejesha Kwa Wake Mzazi Wake Aitwae Shetani Mwana Wa Ibilisi Mzaa Wambea. Amen.
Ndimi Mhe Mzee Shibuda John.