UNDENIABLE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 2,326
- 1,314
Nakupongeza kwa tangazo lako zuri lenye kuonyesha hitaji lako halisi, sio wengine wanakuja na gia ya ndoa wanaishia kuua dhamira za wapendwa wetu. From the bottom of my heart this is the best to me, my dear men this is what we are supposed to do.Natafuta mwanamke wa kuwa nae karibu tu sio kuoana......mchumba wangu yupo mbali sana:
Najisikia mpweke mno naumia sanaaaaaaaaaaa hadi basi
Sifa hz hapa mbili:
1.awe na mchumba/mume alie mbali au wawe wameaachana au hana kabisa, km ana watoto poa tu
2.awe anaweza kujimudumu maisha yake mwenyewe, sometimes anisaidie maisha kwa
ushauri au pesa, mm pia nitamsaidia
Karibuni sana!!!!
NB:
Hakuna kuoana ni kustarehe tu!!!!!!!!!!
Unajibiwa kotekote iwe pm au hadharani!!!!!!!!
Ngoja nikatafute pesa kwanza!
kwa kweli tumeendelea...sio kama zamani
Nakupongeza kwa tangazo lako zuri lenye kuonyesha hitaji lako halisi, sio wengine wanakuja na gia ya ndoa wanaishia kuua dhamira za wapendwa wetu. From the bottom of my heart this is the best to me, my dear men this is what we are supposed to do.
Natafuta mwanamke wa kuwa nae karibu tu sio kuoana......mchumba wangu yupo mbali sana:
Najisikia mpweke mno naumia sanaaaaaaaaaaa hadi basi
Sifa hz hapa mbili:
1.awe na mchumba/mume alie mbali au wawe wameaachana au hana kabisa, km ana watoto poa tu
2.awe anaweza kujimudumu maisha yake mwenyewe, sometimes anisaidie maisha kwa
ushauri au pesa, mm pia nitamsaidia
Karibuni sana!!!!
NB:
Hakuna kuoana ni kustarehe tu!!!!!!!!!!
Unajibiwa kotekote iwe pm au hadharani!!!!!!!!
Heeee hv wewe ni she?.........sasa unawezaje kuwa na mimisa?
I didn't know that
kakae na dada zako au mama yakoNatafuta mwanamke wa kuwa nae karibu tu sio kuoana......mchumba wangu yupo mbali sana:
Najisikia mpweke mno naumia sanaaaaaaaaaaa hadi basi
Sifa hz hapa mbili:
1.awe na mchumba/mume alie mbali au wawe wameaachana au hana kabisa, km ana watoto poa tu
2.awe anaweza kujimudumu maisha yake mwenyewe, sometimes anisaidie maisha kwa
ushauri au pesa, mm pia nitamsaidia
Karibuni sana!!!!
NB:
Hakuna kuoana ni kustarehe tu!!!!!!!!!!
Unajibiwa kotekote iwe pm au hadharani!!!!!!!!
Haya bwana sikuchongei basi, ila ukinizingua tu namwendea PM tukapimane ubavu, au unafikri sitakuweza kwa kuwa wewe unaendesha na manoah? mm ni undeniable, ili nimalize hii soo sema mwenyewe utaniachaje
ah ah ah! nakuruhusu mfuate PM akikubalia mie najitoa Jf na choma na vyeti vyangu vyote
Ngoja tukuundie TUME