UNDENIABLE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 2,326
- 1,314
- Thread starter
- #21
Napita tu nitarudi baadae
Haya, usisahau kurudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napita tu nitarudi baadae
Sema tu kwa kuwa unanipaga lifti yako, vinginevyo ningeharibu!!!!!!!
Sasa vyeti vinahusikaje????
manoah njoo nikunong'oneze
Ahaaaaa nshakusoma, kila nikitaka kupoa unanizingua, ngoja sasa nifanye special task usinitumie namba nitapata, wewe endelea kusubr matokeo, mtu mzima naingia kazini sasa!!!!ah ah ah! PM long proces nikutumie namba yake? Urafiki wetu hauwezi kufa hata ukifanikiwa kumteka
Ahaaaaa nshakusoma, kila nikitaka kupoa unanizingua, ngoja sasa nifanye special task usinitumie namba nitapata, wewe endelea kusubr matokeo, mtu mzima naingia kazini sasa!!!!
Haya, usisahau kurudi
Ngoja nikatafute pesa kwanza!
Nimerudi mkuu na mchango wangu ni huu. Naona watanzania sasa tunaanza kuwa na mwelekeo wa kuwa na ndoa /uhusianao wa mkataba. Yaani tutakaa pamoja tukila raha maswala ya mtoto/watoto hamna na mchumba wangu akirudi basi au tukichokana kila mtu achukue time zake . Hii imekaa vizuri kuliko kuja kupeana majukumu ya kuleana pasipo sababu . Hongera kwa kuwa muwazi juu ya hilo
ahahaha! mimi na wewe tena ndugu
Hahaha..FB vp huko umejaribu?
UNDENIABLE unamchokoza manoah?...yuko kamili na anajiamini bana