Jokate ajibu baada ya Alikiba na mama yake kumkana

Jokate ajibu baada ya Alikiba na mama yake kumkana

Kuna kitu hakipo sawa kuhusu huyu binti. Niliwahi kutazama kipindi alikuwapo nadhani ilikuwa ni EATV. Walikuwa wakizungumzia kuhusu maswala ya wanawake, maendeleo na shughuli zao....

Kwa namna alikuwa anazungumza nilisense ndani ya sauti yake haiba ya ujuaji. Unajua wanaume tunapenda mwanamke anaejua vitu ili awe msaada katika maeneo fulani ya maisha but sio mwanamke ambaye anabehave kuwa ni mjuaji kwa maana ya kutaka kukupanda mwanaume na kuwa juu yako na kuwa aggressive yaani ubishi na kiherehere. Hicho nilikiona na sijajua kwa wanaomjua kiundani but nahisi hiyo ni kitu anayo.

Anauongeaji fulani ambao ni ngumu kumvutia mwanaume labda wanawake wenzake..... Anaongea haraka na kwa sauti fulani ya kulazimisha au kutaka kusikilizwa zaidi badala ya sauti ya kushawishi zaidi.

Nadhani pengine hii ni mojawapo ya sababu kila anapokutana na wanaume wanamuona kama kero baada ya kukaa nae kwa muda.

Pia, sikumbuki nilisoma wapi, but kuna sehemu nilisoma muda mrefu sana ilikuwa ni mahojiano ya kwenye gazeti. Alionyesha kama ni mtu hana opinion nzuri juu ya wanaume yaani ana Toxic Feminism elements. Na ndio maana ukitazama hata kampeni zake kule kisarawe anasema tokomeza zero ila katika matamshi yake anazungumzia mtoto wa kike.

Katika hali ya kawaida ukiona mwanamke anafikia hatua ya kuhama kwa wanaume wengi na baada ya hapo anakuja kusema anatafuta mtoto tu jua wazi shida sio wanaume ni yeye.....

Wanaume wapo wengi sana na kuwapata si kazi kama wanavyojiaminisha kuwa wanaume ni wakorofi ila ukweli ni kwamba wanawake wengi wanakuwa wanaingizia misongo ya mawazo na experience zao za miaka ya nyuma katika mahusiano mapya kila wanapoingia na kujikuta wanawairritate hawa wanaume.
Sasa nimheshimiwa
 
Back
Top Bottom