Jokate: Diamond hana akili timamu

Jokate: Diamond hana akili timamu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mrembo na mwanamitindo ambae pia ni mwigizaji wa filamu na ujasiriamali, Jokate Mwegelo ‘Kidoti' amemrushia maneno makali aliyewahi kuwa mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz' kuwa hana akili timamu kufuatia maneno aliyotoa kuwa enzi za uhusiano wao, eti mwanadada huyo alikuwa akichenga kumzalia mtoto.

Hivi karibuni akizungumza na Global TV online, Diamond alifunguka: "Jokate na Wema (Sepetu) nilitamani sana wanizalie lakini walikuwa wakichengachenga, mambo mengine ujue si ya kuzungumza lakini inauma."

Kufuatia tuhuma hizo nzito huku kukiwa na madai pia, kwamba Jokate aliwahi kupigwa mimba ‘akaipanchi', mwanadada huyo alipotafutwa na mwandishi wetu kujibu ‘shitaka' linalomkabili alianza kwa kumshangaa Diamond.

Jokate alisema anamshangaa Diamond kuyazungumza maneno hayo hadharani na inaonesha asivyokuwa na akili timamu au ambayo haijakomaa. "Diamond atuache, kila siku anatuzungumzia, hana akili timamu.

"Inadhihirisha kweli hana akili kwa kuwa mtu mwenye akili zake timamu hawezi kwenda kwenye chombo cha habari na kueleza hayo aliyoyasema," alisema Jokate akionesha kukasirishwa na maneno ya Diamond.
 
"Kwa kweli nikiwa chumbani na mpenzi wangu sipendi kuvaa kitu kabisa" alisema Jokate kwa kifupi.

Chanzo: GPL
[/QUOTE]Kwake yeye hizi ndo akili anazopaswa kuwa nazo mwanamke... kulikuwa na ulazima gani wa kuutangazia umma kwamba anapokuwa na bwana ake chumbani anapenda kukaa uchi... hivi haoni kaka zake akina Constantine wakisoma habari kama hizi involuntarily picha ina-flash vichwani mwao!!!
 
Tangu ni shuhudie huyu binti akihojiwa nilithibitisha ni mtupu kabisa!
 
Kwake yeye hizi ndo akili anazopaswa kuwa nazo mwanamke... kulikuwa na ulazima gani wa kuutangazia umma kwamba anapokuwa na bwana ake chumbani anapenda kukaa uchi... hivi haoni kaka zake akina Constantine wakisoma habari kama hizi involuntarily picha ina-flash vichwani mwao!!!

i think i know uuuu
 
What's wrong for Mr.Dangote even if you should detective he was Northing why u have keep trust N.ß Delivery its virtal if you has been thinking creatically.D keep it up 4 way Forward with any awfully matter.
 
Uuum ts not bad kujifunza kiingereza but ungeandika kwa kiswahili hoja yako ingeeleweka zaidi #JustAThought
 
Uuum ts not bad kujifunza kiingereza but ungeandika kwa kiswahili hoja yako ingeeleweka zaidi #JustAThought
Mwenyewe nimetoka kapa hapo lakini sikushangaa manake sie wengine kidhungu chetu ni cha shule za kata sasa nikadhani labda amepiga kiinglish cha inteneshno skulu ndo maana nikatoka kapa!
 
Ah! Wapi... huna lolote... kuna cku nilikuambia mwaga hints lakini ukachemsha... hebu toa hints sasa... ama hapa hadharani au kule chemba manake inawezekana ikawa kweli!!!

huo mwandiko wako kuna mtu hapa unafanana nae simuoni siku hzi haki ya mama tena
 
Mwenyewe nimetoka kapa hapo lakini sikushangaa manake sie wengine kidhungu chetu ni cha shule za kata sasa nikadhani labda amepiga kiinglish cha inteneshno skulu ndo maana nikatoka kapa!

umenichekesha bas tu yani
 
huo mwandiko wako kuna mtu hapa unafanana nae simuoni siku hzi haki ya mama tena
Mwandiko au sauti? Nishajua unayemfananisha... yule jamaa mbona yupo tu tena inawezekana ukawa karibu na ukweli hata kama itakuwa sio sahihi... nadhani ua smart enough kufanya 1+1 hapo!
 
Mwandiko au sauti? Nishajua unayemfananisha... yule jamaa mbona yupo tu tena inawezekana ukawa karibu na ukweli hata kama itakuwa sio sahihi... nadhani ua smart enough kufanya 1+1 hapo!

dah!!ntakupata tu we twende tuu!!!
 
umenichekesha bas tu yani
Na wewe mwenzangu chako ni cha wapi? cha kiinteneshno au cha akina sie cha "zis izi namba srii!" kama ticha ni mnoko akauliza kwa ukali "whaaaaat?" chap chap unarekebisha "zis is namba frii...!" shida yote ya nini hadi ujing'ate meno kisa tu kulazimisha kuongea kiinteneshno "thrii"
 
Back
Top Bottom