Jokate: Diamond hana akili timamu

Jokate: Diamond hana akili timamu

What's the wrong of Diamond
If kuweka ukwel ishakuwa tatzo bas m2 anae kudundulika hana akil ni Kdot coz alimvulia chup that's means she was trust him why Leo amwambie hana akili this iz my Fact.
 
Am so sorry guys when this post my it was on My friend.
Sidhan mm na akil zang niandke k2 ambacho hata mm cJaelewa nn amekiandka Dogo.
 
Haya mambo ya ku date halafu mnakuja kutoleana siri hadharani sio issue kabisa.....ni full kudhalilishana tu!!!

Kwakweli Dai alikosea sana na anakosoea kuendelea kuwaongea vibaya hao wadada, kuendelea kuwasemea wenzio mapungufu yao wala hakuna tija yeyote kama watu ulishatosana nao na sasa hivi uko na mwanamke mwingine why kukaa unasema sema wenzio jamani???
Ngachoka mie na hizo kauli....aaaaahh sio lazima lazima kila unaloulizwa ulijibu!!!!!
 
Je, Naseeb anavyowazungumzia vile anafanya vizuri?

Nilimshangaa hata Nassib alisema Penny alitoa mimba zake mbili! Hizi si kesi kabisa kwa mujibu wa sheria za nchi?
Ama kweli omba Mungu akupe akili kwanza, kisha mambo mengine yafuate.
Ova
 
Tatizo mwanamke akishapandw.....a hata useme nini watu wanavuta picha tu kwamba ulifanywa kama vile wanavyofanyaga kila siku so ni kher ubaki kimya kwa maana da!!,bidada ukisha pandwa tu baaaaasiiiii!!
 
Nilimshangaa hata Nassib alisema Penny alitoa mimba zake mbili! Hizi si kesi kabisa kwa mujibu wa sheria za nchi?
Ama kweli omba Mungu akupe akili kwanza, kisha mambo mengine yafuate.
Ova

Mwenzio anajali basi???
Mradi tu kajisafisha yeye aonekane kuwa he was so innocent ila wenzie ndo walikuwa mapepe!

Sasa ye ana uhakika kama hizo mimba zilichoropolewa?? Haya mmoja wao kashasema hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba......ngoja tuone Dangote nae atarudi tena na kusema yepi na sijui huu upuuzi wao utafikia wapi!!!
 
hahasaas mi ka wewe "the car is on the basket*
the tebo iz anda the chair"

Hahahaaaaaa:sly::sly::sly:
Aisee nimecheka sana jamani eti the car is on the basket and the table is under the chair.
Hapo nakumbuka enzi zile shuleni unaambiwa utunge sentensi kutumia hayo maneno,
(under on over etc) yaani ilikuwa mtihani aisee.
 
What's wrong for Mr.Dangote even if you should detective he was Northing why u have keep trust N.ß Delivery its virtal if you has been thinking creatically.D keep it up 4 way Forward with any awfully matter.

What's the wrong of Diamond
If kuweka ukwel ishakuwa tatzo bas m2 anae kudundulika hana akil ni Kdot coz alimvulia chup that's means she was trust him why Leo amwambie hana akili this iz my Fact.

Am so sorry guys when this post my it was on My friend.
Sidhan mm na akil zang niandke k2 ambacho hata mm cJaelewa nn amekiandka Dogo.

Ooohhh come on buddy!.
You are embarrassing yourself.
I would have kept quite if i were u after the first post.
 
Nilimshangaa hata Nassib alisema Penny alitoa mimba zake mbili! Hizi si kesi kabisa kwa mujibu wa sheria za nchi?
Ama kweli omba Mungu akupe akili kwanza, kisha mambo mengine yafuate.
Ova

Sio nassib ni nasibu
 
Back
Top Bottom