Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Yes sio Malaya bali ni Whore , Slut , Hooker , Hoe!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo Form IV Jokate alipata Div I ya Point 8? Tuki Assume B-Phyics,A-Chem ,A- BIo ,Hist-A ,Civ-A ,Eng-A na Kisw-A.Unasonya sababu ya nini? Wewe kama kilaza usifikiri na Jokate ni kilaza katika masomo ya science form 4 jokate alipata A ya chemistry na A ya biology, na physics alipata B..
Na alipewa udada mkuu.. head girl st antony akiwa form 3. Unafikiri shule kama st antony u head girl unapewa kama ni kilaza
Hapo nimeongolea masomo ya science tu.. masomo ya arts kama english aliyapiga A ..
Aliamua mwenyewe kukataa shule ya serikali aliyopangiwa msalato sabab kwao wana hela mambo safi.. na aliamua kusoma loyola HGL.. ila science alikuwa anaimudi... somo alilofeli o level ni hesabu alipata C
Najua wewe unachukia sababu ulipiga miswaki ya kutosha.. jokate ni kichwa darasani
Wewe o level ulipata ngapi hesabu...maana najua huna akili ya kusoma science.. kukuuliza physics nitakuwa nakuonea
Unafikiri mtu maarufu kama jokate mwenye page yenye followers wengi anaweza akaandika uongo wa maksi alizopata.. halafu kwenye comments au page za udaku wasimuumbue kwa ushahidi.. ama waliosoma nae st antony wasimuumbue.. ama wafanyakazi wa necta wasimuumbue.
Nenda kasome comments uone waliosoma nae wanathibitisha vipi kwamba jokate alifaulu sana form 4 necta tena darasa la science
Poleeeeeeeeh sana, nilitoka shule ya o, level (single sex) kwa div 1 ya 11 points, na kuchaguliwa shule ya vipaji maalumu PCM, ambapo chemistry na Mathematics nilipata A, huku physics B,Unasonya sababu ya nini? Wewe kama kilaza usifikiri na Jokate ni kilaza katika masomo ya science form 4 jokate alipata A ya chemistry na A ya biology, na physics alipata B..
Na alipewa udada mkuu.. head girl st antony akiwa form 3. Unafikiri shule kama st antony u head girl unapewa kama ni kilaza
Hapo nimeongolea masomo ya science tu.. masomo ya arts kama english aliyapiga A ..
Aliamua mwenyewe kukataa shule ya serikali aliyopangiwa msalato sabab kwao wana hela mambo safi.. na aliamua kusoma loyola HGL.. ila science alikuwa anaimudi... somo alilofeli o level ni hesabu alipata C
Najua wewe unachukia sababu ulipiga miswaki ya kutosha.. jokate ni kichwa darasani
Wewe o level ulipata ngapi hesabu...maana najua huna akili ya kusoma science.. kukuuliza physics nitakuwa nakuonea
Unafikiri mtu maarufu kama jokate mwenye page yenye followers wengi anaweza akaandika uongo wa maksi alizopata.. halafu kwenye comments au page za udaku wasimuumbue kwa ushahidi.. ama waliosoma nae st antony wasimuumbue.. ama wafanyakazi wa necta wasimuumbue.
Nenda kasome comments uone waliosoma nae wanathibitisha vipi kwamba jokate alifaulu sana form 4 necta tena darasa la science
Yaaani wee acha tyuuuh, ni ajabu kwa kweli khaaaaahKwahiyo Form IV Jokate alipata Div I ya Point 8? Tuki Assume B-Phyics,A-Chem ,A- BIo ,Hist-A ,Civ-A ,Eng-A na Kisw-A.
Kwahiyo Form IV Jokate alipata Div I ya Point 8? Tuki Assume B-Phyics,A-Chem ,A- BIo ,Hist-A ,Civ-A ,Eng-A na Kisw-A.
Poleeeeeeeeh sana, nilitoka shule ya o, level (single sex) kwa div 1 ya 11 points, na kuchaguliwa shule ya vipaji maalumu PCM, ambapo chemistry na Mathematics nilipata A, huku physics B,
Ugumu wa hayo masomo naujua in and out, ndo maan siwez kuamini kirahisi eti kwa hayo matokeo na kuchaguliwa special school kwa PCB akatae, it's ouk n sawa kwao kuna pesa ilishindikana vipi yeye kwenda private kusoma PCB?
Haiwezekani kuwa future ake alilenga kusoma Arts advance huku aki perform vizuri kweny science, inaingia akilini tena kwa expose ya science hadi arts mmmh.
Kuwa dada mkuu na kuperform vizuri kweny science inahusiana vipi? Inategemea na na mambo mengi kwa muhusika hadi kuwa kiongozi wa juu ktk shule nje ya hivyo.
Kwa kumaliza utata naomba niletee matokeo halisi ya huyo jokate kwa level ya ordinary, sio maelezo yake yeye wala sijui wanafunzi wenzake walisema hivi na vile na blah blah nyingine. Nahitaji matokeo halisi ya huyo jokate ili tumalize utata. Hope utakuwa umeelewa .
Maana yake yote yaliyo salia alipata F ndio maana alipata div 1 ya point 12Alipata div 1 point 12. Nimetaja masomo machache nayokumbuka maksi zake... sijataja masomo yote .. maana maksi za kiswahili sijaweka, za history sijaweka za civics sijaweka.. naona wewe umejitungia tu kwa kuhisi...
[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji16]Hapana huyo ni mkuu wangu nafuta hayo maneno na kwa niaba ya wana Jf naomba radhi
Sijaona maana yeyote ktk hili bandiko lako, by the way umeachana na facts umeingilia hata kusikohusika. Niishie hapa.Nashangaa unapinga maksi za jokate kwa nguvu.. nimekuwekea screen shot ya maneno aliyoyaandika mwenyewe bado unapinga.. kwa hio unataka niende kwake kuomba cheti chake nikipige picha nikuwekee ama ?
St antony ni shule kubwa dar tumesoma wengi waulize unaowajua wewe waliokuwepo miaka ya 2000s mwanzoni mpaka kati kati.. kwamba jokate alikuwaje shuleni,
Kama unataka kusikia jokate alipata division 0 ufurahi na F za kila somo ili ufurahie .. hutasikia popote
Najua kuna watu wanachuki na watu waliowazidi maisha..
Gap la maisha ndio linakuumiza... sasa ukategemea utumie maksi za shule kumponda.. na huko unakuta kakuzidi..
Jokate kapiga gap kuanzia kuzaliwa . Jokate kazaliwa washington dc marekani.. karudi bongo shule ya msingi kasoma olimpio.. enzi hizo ndio primary school ya kishua dar.. kwao oysterbay amekulia... shuleni kapiga A za kutosha... na kazi hajawai kuomba za mishahara laki 8..
Kamaliza chuo tu kasaini dili la kidoti kapiga hela kibao... katoka hapo kazi yake ya kwanza ya kuajiriwa ni mkuu wa wilaya.. umri mdogo gap katupiga kubwa... ndio maana wenye roho mbaya kama nyinyi mnachukia..
Nimekuweka picha ya screen shot ya maneno yake mwenyewe ya maksi aliyaandika kwenye page yake.. unayakataa.. kama maneno yake unayakataa hata akiweka cheti utasema amefoji cheti
Tea tea tea[emoji16]Hahah kwamba mtu akupita Div. 1 o'level ndio hawezi kutiwa na msanii sio?
Daah Super illogical reasoning.
Sijaona maana yeyote ktk hili bandiko lako, by the way umeachana na facts umeingilia hata kusikohusika. Niishie hapa.
Maana yake yote yaliyo salia alipata F ndio maana alipata div 1 ya point 12
A =1*5=5
B =2*1=2
-----
7
F=5*1=5
------
12
Hivi 2000 hadi 2004 ni miaka mingapi..?? Siyo mitano hiyo? Walioanza form one mwaka 2000 hawakumaliza mwaka 2003, form four..?? Au nini kilitokea hadi yeye aanze mwaka 2000 na kumaliza form four 2004?Ushahidi mwingine huu hapa.. biashana na maneno aliyoyaandika jokate mwenyewe
Muulize mtu yeyote aliyesoma St Antony miaka ya 2000 mpaka 2004 balaa la jokate darasani
Alikuwa hadi anapata scholarship ya kusamehewa ada.. Huo utamaduni ulikuwepo st antony.. ukifanya vizuri unasamehewa ada.. jokate alikuwa mmoja wapo katika wanawake vichwa st antony
Hahahahahaha naacheka tyuuuh hapa, haya bhanaaah.Facts ndiyo hiyo aliyoandika yeye mwenyewe physics B biology A na chemistry B.
Sasa kampinge insta. Post bado ipo . Kamuombe cheti akupe.. kama unakitaka
Hahahahahaha naacheka tyuuuh hapa, haya bhanaaah.
Jokate alilipwa na alikiba na diamond.. kwa ajili ya kiki kama mpenzi wao.. ila hakuna hata mmoja aliewahi kuwa na mahusiano na jokate.. na wala kupata hata busu...
Hayo ni maneno ya jokate mwenyewe tulivyokutana grossary ya mitaa ya kwao container karibu na ubaloz wa ufaransa oysterbay..
Jokate anasema form 4 alipata div 1 point 12... with A in biology, A in chemistry, B in physics, A in history,A in English, A in Civics etc na akachaguliwa shule ya vipaji msalato PCB. Anasema hizo points tu ni ushahidi tosha yeye sio level ya kudate na bongo fleva artist
Anakwambia walikuja na offer mezani watengeneze kiki.. yeye jokate akatangaza dau wakalilipia.. wakatengeneza kiki
Ni wewe umezitaja hizo "A" 5 hapo juu mkuu.Naona maksi mnajitungia tu humu.. nimetaja masomo kazaa ambayo ni pysics B, chemistry A bilology A na english A... nikataja hesabu C.. toka hapo hakuna somo lolote nililotaja maksi alizopata.. lakini naona wadau mnajitungia tu..
Mna hamu ya kusikia jokate alipata div 0 na F zote..
Maana yake yote yaliyo salia alipata F ndio maana alipata div 1 ya point 12
A =1*5=5
B =2*1=2
-----
7
F=5*1=5
------
12
Ndio maana nacheka tyuuuh hapa, by the way mbna nlkuambia tuachane na hayo, maan nikizidi kusema mengine itakuwa mbaya zaidi. Couz umeshasema nna chuki nae na nna muonea wivu, yaishe mkuu.Nakuwekea tena maneno yake mwenyewe screenshot
Ni wewe umezitaja hizo "A" 5 hapo juu mkuu.