Jokate: Mimi sio malaya

Jokate: Mimi sio malaya

Asingekuwa malaya angejazwa mimba na domo? Asingekuwa malaya si angeacha mimba ya domo azae...mxxxxxx atulie ameze mbaazi kuvuta muda wa kuishi
Kigogo kumbe uliwahi wepo humu!?

Bila shaka una Life Ban.
 
MWANAMITINDO na mtangazaji kiwango Bongo, Jokate Mwegelo amefunguka kuwa sababu kubwa inayomfanya awe karibu zaidi na wanaume ni marafiki zake wa kike kuwa nje ya nchi .

Akizungumza na mwanahabari wetu, Jokate alisema amekuwa akipata malalamiko kutoka kwa watu wengi kuwa kampani yake kubwa ni wanaume hadi wengine kumuona ni malaya wakati si kweli .

"Watu wengi wanasema mimi malaya kwa sababu ya ukaribu wangu na wanaume lakini ukweli ni kwamba kampani yangu ya kike kubwa ipo nje ya nchi , sina jinsi, " alisema Jokate.
You can't foil the footprints
 
Jokate alilipwa na alikiba na diamond.. kwa ajili ya kiki kama mpenzi wao.. ila hakuna hata mmoja aliewahi kuwa na mahusiano na jokate.. na wala kupata hata busu...

Hayo ni maneno ya jokate mwenyewe tulivyokutana grossary ya mitaa ya kwao container karibu na ubaloz wa ufaransa oysterbay..

Jokate anasema form 4 alipata div 1 point 12... with A in biology, A in chemistry, B in physics, A in history,A in English, A in Civics etc na akachaguliwa shule ya vipaji msalato PCB. Anasema hizo points tu ni ushahidi tosha yeye sio level ya kudate na bongo fleva artist

Anakwambia walikuja na offer mezani watengeneze kiki.. yeye jokate akatangaza dau wakalilipia.. wakatengeneza kiki
 
Jokate alilipwa na alikiba na diamond.. kwa ajili ya kiki kama mpenzi wao.. ila hakuna hata mmoja aliewahi kuwa na mahusiano na jokate.. na wala kupata hata busu...

Hayo ni maneno ya jokate mwenyewe tulivyokutana grossary container karibu na ubaloz wa ufaransa oysterbay..

Jokate anasema form 4 alipata div 1 point 12... with A in biology, chemistry, B in physics, A in history, English, Civics etc na akachaguliwa shule ya vipaji msalato PCB. Anasema hizo points tu ni ushahidi tosha yeye sio level ya kudate na bongo fleva artist

Anakwambia walikuja na offer mezani watengeneze kiki.. yeye jokate akatangaza dau wakalilipia.. wakatengeneza kiki

Hahah kwamba mtu akupita Div. 1 o'level ndio hawezi kutiwa na msanii sio?

Daah Super illogical reasoning.
 
Jokate alilipwa na alikiba na diamond.. kwa ajili ya kiki kama mpenzi wao.. ila hakuna hata mmoja aliewahi kuwa na mahusiano na jokate.. na wala kupata hata busu...

Hayo ni maneno ya jokate mwenyewe tulivyokutana grossary container karibu na ubaloz wa ufaransa oysterbay..

Jokate anasema form 4 alipata div 1 point 12... with A in biology, chemistry, B in physics, A in history, English, Civics etc na akachaguliwa shule ya vipaji msalato PCB. Anasema hizo points tu ni ushahidi tosha yeye sio level ya kudate na bongo fleva artist

Anakwambia walikuja na offer mezani watengeneze kiki.. yeye jokate akatangaza dau wakalilipia.. wakatengeneza kiki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jokate hajasoma msalato, kasoma Loyola na comb sio science. Hebu acha uwongo weeeeeeh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jokate hajasoma msalato, kasoma Loyola na comb sio science. Hebu acha uwongo weeeeeeh

Unajua maana ya kuchaguliwa ?

Kuna sehemu nimeandika amesoma msalato?
 
Na hakuchaguliwa msalato, Uwongo tyuuuh achilia hayo matokeo uliyoyatoa mmmmh.

Ushahidi mwingine huu hapa.. biashana na maneno aliyoyaandika jokate mwenyewe

Muulize mtu yeyote aliyesoma St Antony miaka ya 2000 mpaka 2004 balaa la jokate darasani

Alikuwa hadi anapata scholarship ya kusamehewa ada.. Huo utamaduni ulikuwepo st antony.. ukifanya vizuri unasamehewa ada.. jokate alikuwa mmoja wapo katika wanawake vichwa st antony
 
Attachments

  • 20200720_104837.jpg
    20200720_104837.jpg
    134.1 KB · Views: 2
Ushahidi mwingine huu hapa.. biashana na maneno aliyoyaandika jokate mwenyewe

Muulize mtu yeyote aliyesoma St Antony miaka ya 2000 mpaka 2004 balaa la jokate darasani

Alikuwa hadi anapata scholarship ya kkusamehewaada.. Huo utamaduni ulikuwepo st antony.. ukifanya vizuri unasamehewa ada.. jokate alikuwa mmoja wapo katika wanawake vichwa st antony
Afadhali hata umetoa huo ushahidi ili ujikamatishe vizuri, yaan una amini maneno ya jokate? Angeweka hayo matokeo yake tuone? Kutoka PCB hadi HGL it's real? Msieeeeeeew
Yeye alikuwa vizuri kweny English na ndo ulotolea ushahudi na kuweka comb aliyosomea Advance, katafute tena ushahidi wa matokeo yake ya form four necta, sio haya maelezo yake ya kuji proud. Khaaaaaaah
 
Afadhali hata umetoa huo ushahidi ili ujikamatishe vizuri, yaan una amini maneno ya jokate? Angeweka hayo matokeo yake tuone? Kutoka PCB hadi HGL it's real? Msieeeeeeew
Yeye alikuwa vizuri kweny English na ndo ulotolea ushahudi na kuweka comb aliyosomea Advance, katafute tena ushahidi wa matokeo yake ya form necta, sio haya maelezo yake ya kuji proud. Khaaaaaaah

Unasonya sababu ya nini? Wewe kama kilaza usifikiri na Jokate ni kilaza katika masomo ya science form 4 jokate alipata A ya chemistry na A ya biology, na physics alipata B..

Na alipewa udada mkuu.. head girl st antony akiwa form 3. Unafikiri shule kama st antony u head girl unapewa kama ni kilaza

Hapo nimeongolea masomo ya science tu.. masomo ya arts kama english aliyapiga A ..

Aliamua mwenyewe kukataa shule ya serikali aliyopangiwa msalato sabab kwao wana hela mambo safi.. na aliamua kusoma loyola HGL.. ila science alikuwa anaimudi... somo alilofeli o level ni h
esabu alipata C

Najua wewe unachukia sababu ulipiga miswaki ya kutosha.. jokate ni kichwa darasani

Wewe o level ulipata ngapi hesabu...maana najua huna akili ya kusoma science.. kukuuliza physics nitakuwa nakuonea

Unafikiri mtu maarufu kama jokate mwenye page yenye followers wengi anaweza akaandika uongo wa maksi alizopata.. halafu kwenye comments au page za udaku wasimuumbue kwa ushahidi.. ama waliosoma nae st antony wasimuumbue.. ama wafanyakazi wa necta wasimuumbue.

Nenda kasome comments uone waliosoma nae wanathibitisha vipi kwamba jokate alifaulu sana form 4 necta tena darasa la science
 
Back
Top Bottom