Jokate: Mimi sio malaya

Kwahiyo Form IV Jokate alipata Div I ya Point 8? Tuki Assume B-Phyics,A-Chem ,A- BIo ,Hist-A ,Civ-A ,Eng-A na Kisw-A.
 
Poleeeeeeeeh sana, nilitoka shule ya o, level (single sex) kwa div 1 ya 11 points, na kuchaguliwa shule ya vipaji maalumu PCM, ambapo chemistry na Mathematics nilipata A, huku physics B,

Ugumu wa hayo masomo naujua in and out, ndo maan siwez kuamini kirahisi eti kwa hayo matokeo na kuchaguliwa special school kwa PCB akatae, it's ouk n sawa kwao kuna pesa ilishindikana vipi yeye kwenda private kusoma PCB?

Haiwezekani kuwa future ake alilenga kusoma Arts advance huku aki perform vizuri kweny science, inaingia akilini tena kwa expose ya science hadi arts mmmh.

Kuwa dada mkuu na kuperform vizuri kweny science inahusiana vipi? Inategemea na na mambo mengi kwa muhusika hadi kuwa kiongozi wa juu ktk shule nje ya hivyo.

Kwa kumaliza utata naomba niletee matokeo halisi ya huyo jokate kwa level ya ordinary, sio maelezo yake yeye wala sijui wanafunzi wenzake walisema hivi na vile na blah blah nyingine. Nahitaji matokeo halisi ya huyo jokate ili tumalize utata. Hope utakuwa umeelewa .
 
Kwahiyo Form IV Jokate alipata Div I ya Point 8? Tuki Assume B-Phyics,A-Chem ,A- BIo ,Hist-A ,Civ-A ,Eng-A na Kisw-A.

Alipata div 1 point 12. Nimetaja masomo machache nayokumbuka maksi zake... sijataja masomo yote .. maana maksi za kiswahili sijaweka, za history sijaweka za civics sijaweka.. naona wewe umejitungia tu kwa kuhisi...
 

Nashangaa unapinga maksi za jokate kwa nguvu.. nimekuwekea screen shot ya maneno aliyoyaandika mwenyewe bado unapinga.. kwa hio unataka niende kwake kuomba cheti chake nikipige picha nikuwekee ama ?

St antony ni shule kubwa dar tumesoma wengi waulize unaowajua wewe waliokuwepo miaka ya 2000s mwanzoni mpaka kati kati.. kwamba jokate alikuwaje shuleni,

Kama unataka kusikia jokate alipata division 0 ufurahi na F za kila somo ili ufurahie .. hutasikia popote

Najua kuna watu wanachuki na watu waliowazidi maisha..

Gap la maisha ndio linakuumiza... sasa ukategemea utumie maksi za shule kumponda.. na huko unakuta kakuzidi..

Jokate kapiga gap kuanzia kuzaliwa . Jokate kazaliwa washington dc marekani.. karudi bongo shule ya msingi kasoma olimpio.. enzi hizo ndio primary school ya kishua dar.. kwao oysterbay amekulia... shuleni kapiga A za kutosha... na kazi hajawai kuomba za mishahara laki 8..

Kamaliza chuo tu kasaini dili la kidoti kapiga hela kibao... katoka hapo kazi yake ya kwanza ya kuajiriwa ni mkuu wa wilaya.. umri mdogo gap katupiga kubwa... ndio maana wenye roho mbaya kama nyinyi mnachukia..

Nimekuweka picha ya screen shot ya maneno yake mwenyewe ya maksi aliyaandika kwenye page yake.. unayakataa.. kama maneno yake unayakataa hata akiweka cheti utasema amefoji cheti
 
Alipata div 1 point 12. Nimetaja masomo machache nayokumbuka maksi zake... sijataja masomo yote .. maana maksi za kiswahili sijaweka, za history sijaweka za civics sijaweka.. naona wewe umejitungia tu kwa kuhisi...
Maana yake yote yaliyo salia alipata F ndio maana alipata div 1 ya point 12

A =1*5=5
B =2*1=2
-----
7
F=5*1=5
------
12
 
Sijaona maana yeyote ktk hili bandiko lako, by the way umeachana na facts umeingilia hata kusikohusika. Niishie hapa.
 
Sijaona maana yeyote ktk hili bandiko lako, by the way umeachana na facts umeingilia hata kusikohusika. Niishie hapa.

Facts ndiyo hiyo aliyoandika yeye mwenyewe physics B biology A na chemistry A
Sasa kampinge insta. Post bado ipo . Kamuombe cheti akupe.. kama unakitaka
 
Maana yake yote yaliyo salia alipata F ndio maana alipata div 1 ya point 12

A =1*5=5
B =2*1=2
-----
7
F=5*1=5
------
12

Naona maksi mnajitungia tu humu.. nimetaja masomo kazaa ambayo ni pysics B, chemistry A bilology A na english A... nikataja hesabu C.. toka hapo hakuna somo lolote nililotaja maksi alizopata.. lakini naona wadau mnajitungia tu..

Mna hamu ya kusikia jokate alipata div 0 na F zote..
 
Hivi 2000 hadi 2004 ni miaka mingapi..?? Siyo mitano hiyo? Walioanza form one mwaka 2000 hawakumaliza mwaka 2003, form four..?? Au nini kilitokea hadi yeye aanze mwaka 2000 na kumaliza form four 2004?
 
Facts ndiyo hiyo aliyoandika yeye mwenyewe physics B biology A na chemistry B.
Sasa kampinge insta. Post bado ipo . Kamuombe cheti akupe.. kama unakitaka
Hahahahahaha naacheka tyuuuh hapa, haya bhanaaah.
 
Ni wewe umezitaja hizo "A" 5 hapo juu mkuu.
 
Nakuwekea tena maneno yake mwenyewe screenshot
Ndio maana nacheka tyuuuh hapa, by the way mbna nlkuambia tuachane na hayo, maan nikizidi kusema mengine itakuwa mbaya zaidi. Couz umeshasema nna chuki nae na nna muonea wivu, yaishe mkuu.
 
Ni wewe umezitaja hizo "A" 5 hapo juu mkuu.

Inawezekana error...haya narudia tena maksi ambazo nina uhakika amezipata. Physics B , chemistry A, biology A, english A, mathematics C... zingine sikumbuki alipata ngapi... ila total points ilikuwa 12

Na kunogesha jibu.. amezaliwa washington dc usa

Na screen shot ya maneno yake mwenyewe kuhusu maksi alizopata nimekuwekea.. isome
 

Attachments

  • 20200720_104837.jpg
    134.1 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…