Poleeeeeeeeh sana, nilitoka shule ya o, level (single sex) kwa div 1 ya 11 points, na kuchaguliwa shule ya vipaji maalumu PCM, ambapo chemistry na Mathematics nilipata A, huku physics B,
Ugumu wa hayo masomo naujua in and out, ndo maan siwez kuamini kirahisi eti kwa hayo matokeo na kuchaguliwa special school kwa PCB akatae, it's ouk n sawa kwao kuna pesa ilishindikana vipi yeye kwenda private kusoma PCB?
Haiwezekani kuwa future ake alilenga kusoma Arts advance huku aki perform vizuri kweny science, inaingia akilini tena kwa expose ya science hadi arts mmmh.
Kuwa dada mkuu na kuperform vizuri kweny science inahusiana vipi? Inategemea na na mambo mengi kwa muhusika hadi kuwa kiongozi wa juu ktk shule nje ya hivyo.
Kwa kumaliza utata naomba niletee matokeo halisi ya huyo jokate kwa level ya ordinary, sio maelezo yake yeye wala sijui wanafunzi wenzake walisema hivi na vile na blah blah nyingine. Nahitaji matokeo halisi ya huyo jokate ili tumalize utata. Hope utakuwa umeelewa .