Sio lazima kila kitu kilichopo kwenye katiba kifuatwe hata kama kinaleta hali ya mtanziko katika jamii..na pia sio kila ambacho hakipo kikatiba basi kisifanyike hata kama kinaleta suluhu kwa jamii.

Magufuli kutokufuata katiba hali aliyoileta ni sahihi? Walioweka katiba Walijua kuwa wajinga watatumia madaraka yao vibaya ndio maana kukawa na Katiba kwanza kisha Busara