sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,640
- 11,680
Sio lazima kila kitu kilichopo kwenye katiba kifuatwe hata kama kinaleta hali ya mtanziko katika jamii..na pia sio kila ambacho hakipo kikatiba basi kisifanyike hata kama kinaleta suluhu kwa jamii.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app