Nje ya mada:Katika utumishi wa nchi Kiongozi anayeongoza wilaya, mkoa n.k ambaye kikatiba anamwakilisha Rais wa Nchi, kubeba mimba au kuzaa pasipo kuwa na ndoa inatoa taswira hasi kwa wale unaowaongoza...
Naunga mkono hoja.Hakuna kumungunya maneno hatuwezi kuendelea kuongozwa na Kiongozi asiye na maadili ya utumishi, anayetarijiwa Kupata mtoto nje ya ndoa, atawashauri nini na kuwafundisha nini mabinti zetu mashuleni, ambao wengi wao wanamchukulia kama role model wao.
Jamii na Watumishi wenzake anaowasimamia watamchukuliaje?, Kiujumla tayari kapoteza sifa za kuendelea kushika wadhifa huo.
Mh. Rais tuletee DC mwingine Temeke mwenye maadili ya utumishi.
#Rais teua DC mwingine Temeke
Tujifunze Ulaya na kwingineko. Kiongozi ni mfano kwa mambo yote.Kweli asee.. viongozi wa umma wanapaswa kuwa na maadili kwa kuwa wanaangaliwa sana na jamii wanayoiongoza kama mfano.. basi hata ikitokea wameenda kinyume na maadili basi wafiche mambo yao yasionekane, na hata yakionekana ijulikane kuwa walijitahidi kuficha lakin ikashindikana.. sio kabisa wanatangaza na kujiweka wazi ujinga wao kana kwamba hawakukosea, sio sawa.
Haujamuelewa. Hapo hatuzungumzii maisha ya mtu binafsi bali kiongozi mwandamizi.Nadhani swala la ndoa, mahusiano, ujauzito, uzazi, watoto, ni la kibinafsi zaidi ndugu mleta mada.
Anapaswa kuwa kwenye mstari wa kimaadili ndani na nje ya mamlaka yake.Nchi hii ina wananchi wajinga na wanafiki sana ,sasa mahusiano yake yanatuhusu nini kama utendaji wake wa kazi haujatetereka ? Ulitaka akatoe ili aendelee na uongozi ?
Kuna sheria na maadili ya uongozi wa uma. Miongoni mwa miiko yake ni kuwa na image mbaya. Ndio maana kiongozi mwandamizi hatakiwi kufanya mambo ya hovyoSioni shida ipo wapi?kwanza bongo hakuna sheria inakataza au ina climinalize ngono!tendo la ndoa nje ya ndoa,uwezi kushitakiwa kwa kukutwa unafanya tendo la ndoa na mtu mzima mwenzio faragha!!sio kosa kabisa!!?
Humjui au haujawahi kumuona....?! Kwenye matukio yote muhimu yupoMume wa samia sijawahi kumuona.
Ni mtumishi wa umma na amezini kazini akapata na mimba juu, hii inamushusha hadhi katika maadili ya utumishi wa umma kwa sababu hana cheti cha ndoa.Mie Sijaelewa bado..! Mnamaanisha AMEZINI Na Ushahidi mnao.?
Kuna Amri fulani Ya Mungu Kashaivunja huyo.. Sijui Ya ngapi.?
Kabisa hii ni utomvu wa maadili.Mwanamke akizaq bila ndoa anajesabika kuwa ni muhuni katika jamii yetu. Ina maanisha anaweza kwenda na mtu yeyote hata mume wa mtu. Sasa haya mambo gani kwa kiongozi ambaye anatakiwa kusimamia maadili
Afunge ndoaNchi hii ina wananchi wajinga na wanafiki sana ,sasa mahusiano yake yanatuhusu nini kama utendaji wake wa kazi haujatetereka ? Ulitaka akatoe ili aendelee na uongozi ?
Whatever, the cralility of acting as a lovelel pensica while she is a Distric Councilor is not granted as per our national morality.Your life is all about mindset, attitude, perspection, beliefs and you act and react to every scenario or outcomes.those can cause both physical and emotional pains that resulted from your interpretation from your internal environments of your mind and your external