Jokate Mwegelo kubeba mimba bila ndoa katika Utumishi inatoa taswira gani kwa unaowaongoza?

Katika utumishi wa nchi Kiongozi anayeongoza wilaya, mkoa n.k ambaye kikatiba anamwakilisha Rais wa Nchi, kubeba mimba au kuzaa pasipo kuwa na ndoa inatoa taswira hasi kwa wale unaowaongoza...
Huo ndio ukweli atakaywkypinga na yeye anarukaruka tu,Jokate anajulijana kwa kurukaruka na,ni muimini mzuri kanisani St Peters.
 
Katika utumishi wa nchi Kiongozi anayeongoza wilaya, mkoa n.k ambaye kikatiba anamwakilisha Rais wa Nchi, kubeba mimba au kuzaa pasipo kuwa na ndoa inatoa taswira hasi kwa wale unaowaongoza...
Asiposhika mimba tunatoa manunguniko.

Binadam mzito sana
 
Katika utumishi wa nchi Kiongozi anayeongoza wilaya, mkoa n.k ambaye kikatiba anamwakilisha Rais wa Nchi, kubeba mimba au kuzaa pasipo kuwa na ndoa inatoa taswira hasi kwa wale unaowaongoza...
Mleta hoja anazidi kuthibitisha kwamba upeo wake ni wa hovyo
 
DC acha aenjoy maisha bhana sema tu nae ajitahidi Afunge ndoa sio kuishi kizinzi kama mtu w a vichochoroni huko japo sio lazima ila kwa taratibu zetu unaonekana mzinifu...!!

Ni private life ila yeye ni Public figure hapo ndo kwenye tatizo na Mimba yenyewe nasikia ni ya Vunja bei mume wa mtu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bongo nyoso aisee mwanamke mwanamke mtu akili zake huwezi zibadilishaaa...
 
Hii kanuni ipo wapi tupewe info
 
Katika utumishi wa nchi Kiongozi anayeongoza wilaya, mkoa n.k ambaye kikatiba anamwakilisha Rais wa Nchi, kubeba mimba au kuzaa pasipo kuwa na ndoa inatoa taswira hasi kwa wale unaowaongoza...
Mleta mada uko sahihi. Huyu dada kwa sasa anatembea na ushahidi kuwa ni muasherati. Kuna uwezekano mkubwa alitembea na mume wa mtu.

Kiongozi yeyote lazima awe na uwezo wa kuonesha njia wengine. Viongozi lazima tuwe vielelezo katika mwenendo mzima wa maisha yetu kwa ujumla. DC sio cheo kidogo. Lazima maadili flani yafuatwe.

Kiongozi mkubwa vile kutembea nje ya maadili ni aibu kwa anaowaongoza na fedheha kwa Taifa. Binafsi ninalaani kitendo cha mtu yeyote kibeba mimba nje ya ndoa, yaani kuwa mwasherati/mzinzi ni machukizo mbele za Bwana Mungu na mbele za jamii.

YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…